Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Yupo mbonaWhere is she?
Anachat hapa
Yupo mbonaWhere is she?
Sio ugumu, akili na zifanye kazi yake vizuri. Unacholilia nini 😳😳.. Hupumui, kaondoka na nini kwenye mwili wako.. Ebu wacheni hezo 🤠🤠🤠Tuko very emotional hasa kwa watu tunaowapenda, nyie si ni wagumu mnajikaza ndani kwa ndani.
Sema ndio nature yetu
Unatumia soda gani mremboWakati mnaendelea kudiscuss mapenzi
Hebu tununulieni soda, Viewers tunywe huku tunaendelea.
Nikikuwekea selfii yangu niite mbwaaaa tena mbwaa kokoo!!Uko vizuri Madame😍
Naadmire sana watu wa Science..
Ukiona mtu amesoma Science ujue ni kipanga
Hakuna kiazi ananusa huko.
Tunaomba sasa na kapicha kako madame genius❤️
Ukosefu wa matumizi ya akili kwa usahihi.. Mnazitumia akili kurukia road tu 🤠🤠🤠 huku kwingine hamtaki kuzitumia..Kwahiyo sisi ambao bado tumeshikilia mapenzi kwa wasiotupenda ni Wehu 😭
Nashangaa yani mtu analilia mapenzi niache kulilia Mirinda orange na makande nililie mapenziYana run dunia ya vichaa wasio ona kuna mambo ya msingi zaidi ya mapenzi. Pesa ni jawabu ya mambo yote na sio mapenzi
Jana ofisini hawajakataHalafu sasahivi karibia kila siku wanawakatia🤣🤣🤣🤣
Tanesco Mbinguni hawaendi.
Msalimie sn AntonniaYupo mbona
Anachat hapa
Mchane huyoooo 🤣🤣Ukosefu wa matumizi ya akili kwa usahihi.. Mnazitumia akili kurukia road tu 🤠🤠🤠 huku kwingine hamtaki kuzitumia..
Umeachwa shukuru huwezi jua umeepushwa na nini 🤠🤠Basi me nimeacha 😂😂
Depal natumai na wewe utaacha kama sio ushaacha uchinga wa kulia lia kisa umeachwa
😭😭 unapiga ngumi kwenye mshono 🤣Ukosefu wa matumizi ya akili kwa usahihi.. Mnazitumia akili kurukia road tu 🤠🤠🤠 huku kwingine hamtaki kuzitumia..
Kabisa, hapo ni kusonga tu mbele kama InjiliUmeachwa shukuru huwezi jua umeepushwa na nini 🤠🤠
Hamjui tu watu tunamiss nini🤣Mchane huyoooo 🤣🤣
Me namwambiaga anakua mbishi
wabaya ile mbayaHadi wewe shoga na upole huo wanakutenda?
Kweli wanaume wabaya
Waanapochujwa ile form 3 wanaochukua Wayansi automatic ni majembe!Uko vizuri Madame😍
Naadmire sana watu wa Science..
Ukiona mtu amesoma Science ujue ni kipanga
Hakuna kiazi ananusa huko.
Tunaomba sasa na kapicha kako madame genius❤️
Aaaaah! Achaneni na emotions za kiwaki, maisha siku zote yanaendelea, upendo siku zote upo. Upendo hauwezi kukuacha na huzuni. Muwe majasiri. Anaekupenda hato kuacha na kama amekuacha ujue sio mpango wa Mungu wala wa shetani muwe pamoja 🤠🤠🤠😭😭 unapiga ngumi kwenye mshono 🤣
Ewaaa.. Unaweza lazimisha ukaletewa na ukimwi ndani 🤠🤠🤠 ebu tumieni akili vizuri, sio mzitumie kuchagia nguo nzuri tu na sio maamuzi mazuri, emotions alizo wapa Mungu ni kwa ajiri ya kumuimbia na kumsifu huku machozi ya uwepo yakiwatoka, sio. Machozi ya kumlilia abdalaaa acheni huo ujinga 🤠🤠🤠Kabisa, hapo ni kusonga tu mbele kama Injili