Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Mapenzi yanarun duniaKuna mvua huko 🤠🤠
Mie mtu ane lia lia mapenzi kama yupo karibu naweza mchapa makofi kabisa, kuna mambo mengi ya ku settle kuliko huo upuuzi 🤠🤠
Mapenzi yanarun duniaKuna mvua huko 🤠🤠
Mie mtu ane lia lia mapenzi kama yupo karibu naweza mchapa makofi kabisa, kuna mambo mengi ya ku settle kuliko huo upuuzi 🤠🤠
Mkapimwe hampo sawa, yani mapenzi ndio ya kulize 😳😳😳.. Kosa mapenzi na ukose hela uone kipi utaishi kama huna na kipi utakufa kama huna..Hayajakukuta wewe eeeh?😂😂😂
Sema Mimi huwa nakausha hata kama naumia.
👍👍Mapenzi yanarun dunia
Katakuwa kameingia Field kajiniazi ketu ka Selfika.Atakua ametingwa tu jembe langu coca the jiniazzzzzzzzzzzzzzz!! 👋👋👋🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️!!
Yana run dunia ya vichaa wasio ona kuna mambo ya msingi zaidi ya mapenzi. Pesa ni jawabu ya mambo yote na sio mapenziMapenzi yanarun dunia
Acha tulie bwana 🤣🤣🤣Kuna mvua huko 🤠🤠
Mie mtu ane lia lia mapenzi kama yupo karibu naweza mchapa makofi kabisa, kuna mambo mengi ya ku settle kuliko huo upuuzi 🤠🤠
Mimi sina vyote😂😂😂😂😂Mkapimwe hampo sawa, yani mapenzi ndio ya kulize 😳😳😳.. Kosa mapenzi na ukose hela uone kipi utaishi kama huna na kipi utakufa kama huna..
🤣🤣🤣 hujawahi kupenda wewe itakuwaYana run dunia ya vichaa wasio ona kuna mambo ya msingi zaidi ya mapenzi. Pesa ni jawabu ya mambo yote na sio mapenzi
Ati nyonyoma kasema yanarun dunia ya wajinger 🤣😭😭Mapenzi yanarun dunia
🤠🤠 Sasa kama hivi unanipenda na mwanangu an anipenda inatosha.. Hapa kuna vitu wehu wanachanganya kati ya mapenzi na upendo.. Watu tunahitaji kupendwa sio mapenzi.. Na upendo hauna baya, upendo ni kamilifu.. Ila mapenzi ni scum tu😂😂😂 tuko uwanjani tunatafuta hizo hela
Ila hiyo ni kma brunch nyonyoma 🤣
Kuwa serious muda wote utachakaa akili 😁
Maumivu au kuendekeza utahira tu. Mtu uumie kisa taka taka tu 🤠🤠🤠Hata ukiwa na pesa maumivu ya mapenzi yako pale pale, au sio didi ake Depal
Tukilia atleast machungu yanapungua 🤣🤣Acha tulie bwana 🤣🤣🤣
Kama nilijiona bora,, mimi ndio mimi na nikaja kuachwa why nisilie 😭
😭😭😭 waliaji nawasaidia ee
Mahondaw yupo wapi madam?Huu Uzi umepoa sana.
Nikawa najiuliza tatizo ni ni I, Nikagundua kumbe boss ledi Antonnia Mahondaw hayupo.
Surely dada mpole 💕acha tuongee tu hapa ndo uwanja wetu wa kujieleza .
hatuna mashost wa kuhadithia .. kama vile slogan ya Jf inavyosema .
kukaa na mambo moyoni sio poa ... ndo ulcers zinanzia hapa , time is the best healer , tutaongea hapa end of the day tutasahau
Yanapungua 🤣🤣 ila yakiamua kurudi,, yanarudii na utawehuka upyaaTukilia atleast machungu yanapungua 🤣🤣
Takataka 🤣🤣🤣Maumivu au kuendekeza utahira tu. Mtu uumie kisa taka taka tu 🤠🤠🤠
Mie napenda nina agape kind of love,.. Napenda wote sawa sawa.. Sibabaishwi na upendo wa mwilini.. Wengi mnapenda ovyo ovyo kama wehu.. Mtaumia sanaaa tu 😂😂😂😂🤣🤣🤣 hujawahi kupenda wewe itakuwa