Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Ushindwe toka pepoInaweza kuwa aromantic ila pia huenda una taste nyingine kama same sex attraction au animal attraction.
Usiku mwema mwigulu nchemba ww [emoji34][emoji34][emoji34]
Ushindwe toka pepoInaweza kuwa aromantic ila pia huenda una taste nyingine kama same sex attraction au animal attraction.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]jamaniiNamba unayo piga haipatikan
We...hebu acha ukuda wako afu nilikua na Max melo ujue!![emoji1][emoji1]yaani nilikosa tu pozi la kupiga nae picha huyu boss wa jf[emoji23] Kila nikikumbuka ulivyokuwa kwenye ile harusi unamwaga minoti nafsi inakataa kataa.
Alafu kuna mtu alinirushia pm hizo pic zako. Ulipendeza htari unataka ukalipie vikoba au unafanya preorder ya iphone 14.We...hebu acha ukuda wako afu nilikua na Max melo ujue!![emoji1][emoji1]yaani nilikosa tu pozi la kupiga nae picha huyu boss wa jf
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Et kumwaga kimalkia!!!!!!!Ndo nn maana yake?Cuzooooo unamwaga kimalkia
Coca umesoma ujumbe wa Cuzo?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
A cool manPac himself
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nimechekaaaSiku hizi bahasha zinabebwa? Si mwendo wa mail tu…
2018 kuna ofisi nilijibiwa jibu ambalo sikurudiaga kubeba bahasha nikaenda ofisini kwa watu [emoji1787][emoji23]
Ofisini yenyewe hata jina nishaisahau, iko posta mojawapo ya yale majengo pacha.
Khaa yule dada [emoji38][emoji38][emoji38]
Wakati mwingine nilimiss tu kuwa interviewed, nikaandika email ofisi flani wako Masaki, hawa walikuwa wametoa tangazo.. sema kuna ka factor kalikuwa kamenipush, 2020 hiyoo nilikuwa natamani kuhamq Arusha
Niliandika barua hiyoo? Nilikopa kingereza mtaa wa 7 nikajimaliza balaaa…. Nikaitwa interview, hiyo siku kwanza nilikuta more than 4 missed calls na sms juu ‘sisi ni flani flani pls tutafute..
Basi chap nikawapigia, yule mama baada ya salamu akaanza kuniambia yan we jobless na hukai karibu na simu una raha gani? Nilihisi kuwa offended [emoji23][emoji23]
Basi tukaongea nikamwambia siko Dar na itakuwa ngumu kufika.. basi akanipangia Zoom …. Kwa mara ya kwanza nakutana na panel ya watu wanne … niliogopaaa, ila nikakaza
Hapo najua niko mahali na siwezi kurupuka nikatokapo, basi kipengele cha mshahara tarajiwa nikataja figure ambayo najua walidhani kabisa hili toto halina shida na kazi [emoji22]
Nikawa nishawasahau.. hiyo siku nakuta email’ we regret to inform you that…..
SalutKweli kabisa
Love is a promise, love is a souvenir, once given never forgotten, never let it disappear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu toa loc mapemaaa, nianze kazi, udalali na ukuwadi ndo kazi yangu inaniweka town.Kabisaaa shos dalali akee fanya kunitafutia mapemaaaa.. list ikitoka tu ni kuripot na kuanza kazi on spot hakuna kuomba omba ruhusa nijiandae Sijui!
Tafuta nyumba na bonge la bwanaaa najua huwezi niangushaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hujanifichaaaa sasa? /Chapa kazi kwanza baadaye nikakufiche kuleeee
Jojo ktk role ya mzazi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hapa ndipo role ya mama inapokuja. Yani ukitaka kuzaa lazima ujikatae yani sura lazima ifomatiwe upyaa yani uvumilie vingi so na kina baba hapa ndipo muda wa kuwavumilia wake zenu sio ulimzoea pua mchongoko hapa lazima pua ijae kidogo kama andazi. Ila mwisho wa siku anakuletea Jembe au Mrembo kwa dunia. Hongera Jokate
View attachment 2354337
Mic u mlongo. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji3059][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ahsante dear Niko ktk utafutaji mama angu! ahsanteee sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
HakikaINSECURITIES: HALI YA MTU KUTOJIAMINI NA KILA MUDA KUISHI KWA WASIWASI. Ni hali mbaya haswa huku mitandaoni utaishia kugombana na watu kila uchwao haswa ukizingatia kila mtu amekuja na tabia zake na huwezi zibadili ziendane na zako. Psychological facts.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kutema yaiEt kumwaga kimalkia!!!!!!!Ndo nn maana yake?
Kaaahh...hakuna hyo kituu ya pm Wala P.o Box, kupendeza kwa sherehe sio mbaya Mara moja moja..Alafu kuna mtu alinirushia pm hizo pic zako. Ulipendeza htari unataka ukalipie vikoba au unafanya preorder ya iphone 14.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa sanaá. Nimekumbuka wakati wa ku apply chuo, nikawa nachagua Dar tyuuh, kuna mtu akanambia[emoji1][emoji1][emoji1]danga ,diwani,mtendaji au mwlkuu
Mi sijawahi fanya kazi bush ni mjini tu Dom,dar baasii Tena mjini
Vijijini wakae wenyewe,afanye ahame bwana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaagMimi hapa nivozaaa nimeporomokaaa nimechakaa nimechujaaa balaaaa.. ubintini nilikua na huo mtrako Hakyanani trakoo kuleeee hipss sasa ndio usiseme.... nivobeba mimba tu mamaeee mzee ana nafuuuu nilikua kama kibibi cha miaka 102 uzazi [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!!
Mremboooooo, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]