National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
😊😊😊 Jua lachomoza saa 11 alfajiri utanikuta mlangoni tuuu nakusubiriMapema sana kwahiyo jua likichomoza tu anza safari 🙂
😊😊😊 Jua lachomoza saa 11 alfajiri utanikuta mlangoni tuuu nakusubiriMapema sana kwahiyo jua likichomoza tu anza safari 🙂
See you then 😉😊😊😊 Jua lachomoza saa 11 alfajiri utanikuta mlangoni tuuu nakusubiri
🤗🤗🤗... Chai na biscuit za rafiki zangu nikuteSee you then 😉
Weeeh!Mkulaji bange wa kwanza ww tena wa kike humu JF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cazeee upoooo???Inatikiwa kifimbo cheza aludi ili awe akulekebishe maandish ya lugha(KIMOMBO NI NIN)
😁😁Asante Wigelekelo mic u
sana.... Mbona unaniita shemeji unataka kuninyima nin?!
Ulizaliwa wakat shetan alikuwa na sherehe yake huko kuzimun maana una maneno kama mganda aliye filiska[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cazeee upoooo???
Wewe ukivuta za kigoma humu JF tunaweza tukakusahau kabsaWeeeh!
Tena navuta zile za Kigoma
Tupo we tupia vodacom promotion ☺️☺️☺️ zingine nitawatunziaNdugu zangu mpooo?
Wamelala umebaki peke yako chiefTupo we tupia vodacom promotion ☺️☺️☺️ zingine nitawatunzia
Dk ya 6 nimeipata😂😂 hee maajabuSelfika na #voda#
*104*818819315352125#
HongeraDk ya 6 nimeipata😂😂 hee maajabu
Santeeee
Sipo peke yangu watu wamepita kimya kimya ☺️☺️☺️☺️Wamelala umebaki peke yako chief
Ndizo ninazovuta CuzoWewe ukivuta za kigoma humu JF tunaweza tukakusahau kabsa
Naona nimewahiwaDk ya 6 nimeipata😂😂 hee maajabu
Santeeee
Dar wa tigo 😊😊 natoa mate tuuSelfika na #tigo#
*104*453537103320982#