Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,229
- 21,341
Unaishije sasa mjini maana wadada karibia 90% wa mujini ni vikoba au ule unaitwa mchezo na Brak sijui black. Na mwingine naskia unaitwa nyonya damu 😂😂Kaaahh...hakuna hyo kituu ya pm Wala P.o Box, kupendeza kwa sherehe sio mbaya Mara moja moja..
Sina kikoba ht kimoja halafu[emoji1][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
I phone14 5.2m ndoja ntumie infinx yangu hii
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app