Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lizzy ameishi nje na amestaarabika maana siyo wote wamestaarabika..
Wengine bado tabia za bongo zimewaganda hata wafanyaje.

Watu wanachambana,,,Lizzy yeye anatupia msosi yupo zenji,,
Wakati wengine wapo hapa na huku Wana kuni pembeni,wanachochea tu moto🤣🤣🤣🤣
Annie utakuja upigwe ila ntakutetea 😆😆😆

On a serious note though...huku kama Insta tu, wengine wanabaki kwenye uhalisia na wengine tuna-share vile vinavyofanya tuonekane tumo ila ni wale wale tu bana. 😶‍🌫️

Jiko langu la kuni ntakuonyesha kesho 🙂
 
Siku Lizzy akichambana na mtu humu mniite mbwa,nimekaa pale👉🤣🤣😃🤣🤣
 
Hivi Lizzy unataka nilie hapa ama niende kule story of change nikaanzishe uzi, I love you unconditionally.
Tena leo nimekuota, ... there's nothing you can comment or say will make me love you any less, sasa hapo umenielewa...

Huamini katika kumpenda mtu pasipo sababu?
Yes!!! Kanianzishie uzi, nifurahi kabla ya kukupigia campaign ushinde hela alafu unigawie 😁😁😁😁

Ila asante sana kama kweli....I appreciate it!!☺️☺️☺️ Najua inawezekana maana hata mimi kuna watu wanapendaga tu basi 🙂

Sasa tuhamie kwenye ndoto........🤓🤓
 
Hivi Lizzy unataka nilie hapa ama niende kule story of change nikaanzishe uzi, I love you unconditionally.
Tena leo nimekuota, ... there's nothing you can comment or say will make me love you any less, sasa hapo umenielewa...

Huamini katika kumpenda mtu pasipo sababu?
Na ndio upendo unatakiwa.. Hiyo ndio upendo wenyewe sasa 🤠🤠🤠
 
Back
Top Bottom