Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mapenzi yangu kwako si kwa sababu uni reward chochote yaani all those things that make loving more enjoyable si sababu ya mimi kukupenda, yaani i cant explain...
Mie mwenyewe nataka kujua sababu/motivation if there is one maana I'm one of those people who like to make sense of everything....even when there is none.😏

So....I'll be waiting 😉
 
Mie mwenyewe nataka kujua sababu/motivation if there is one maana I'm one of those people who like to make sense of everything....even when there is none.😏

So....I'll be waiting 😉
Ngoja niwarahisishie,
Anamaanisha kuwa wewe hauna uswahili swahili mwingi humu,,yaani habari za kutifuana na watu hujawahi kuwa nazo.
Wewe unajilia bata na vijana wako...picha kali,swaga za mamtoni tofauti na za wengine wengine yaani.
 
Sema tu ukweli kuwa ni mzungu wa roho..
Itakuwa amewahi kuishi mamtoni huyu!
Sio wengine mara tuparangane na akina Coca🤣🤣🤣🤣
Mara wengine wanachambana hapa wakavu hata hawana mshipa wa aibu,Hadi mshindi hapatikani.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Asante kwa kunifurahisha Saint Anne na mimi siku moja niwachangamshe basi 😶‍🌫️
 
Mie mwenyewe nataka kujua sababu/motivation if there is one maana I'm one of those people who like to make sense of everything....even when there is none.😏

So....I'll be waiting 😉
Hivi Lizzy unataka nilie hapa ama niende kule story of change nikaanzishe uzi, I love you unconditionally.
Tena leo nimekuota, ... there's nothing you can comment or say will make me love you any less, sasa hapo umenielewa...

Huamini katika kumpenda mtu pasipo sababu?
 
Ngoja niwarahisishie,
Anamaanisha kuwa wewe hauna uswahili swahili mwingi humu,,yaani habari za kutifuana na watu hujawahi kuwa nazo.
Wewe unajilia bata na vijana wako...picha kali,swaga za mamtoni tofauti na za wengine wengine yaani.
Halafu ujue unanikosha sana, yaani hapo unanimaliza..
 
Back
Top Bottom