Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Hata siku moja dada wa watu yeye na bata tu.Siwezi kukukimbia, lakini sema ukweli coolness comes from within, Lizzy yupo very cool sijamuona kwenye conflicts and fights zozote humu...
Wengine sisi mara kwenye siasa waniite mtoto wa Magu,
Sijakaa sawa huko MMU mtu ameniita Singo Maza....
Nakuja huku mara mtu amenitukana😂😂😂😂😂😂
Kichwa kikishapata moto hapo ndio basi tena.





