Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20220907_225528.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nimecheka mnoooo. Khaaaah chips hapanaaaa.
Chaaaa!!!!
Jamani jamani,,,Mkizaa watoto huko Nanjilinji muwalete mjini.

Ona sasa Coca hazijui Chips🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yes!!! Kanianzishie uzi, nifurahi kabla ya kukupigia campaign ushinde hela alafu unigawie 😁😁😁😁

Ila asante sana kama kweli....I appreciate it!!☺️☺️☺️ Najua inawezekana maana hata mimi kuna watu wanapendaga tu basi 🙂

Sasa tuhamie kwenye ndoto........🤓🤓
Kama umenielewa siendi kuandika uzi, sasa suala la ndoto... ngoja nikuhadithie tu, niliota nimekuambia nakupenda halafu ukanitukana sanaaa!! kuna mtu nikamuomba ushauri akasema hio ni kinyume, basi nikavaa mabomu kama al-qaeda, nikaja kujilipua tu litakolokuwa na liwe...
 
Nakutania Coca[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Mimi mwenyewe huwa sili soseji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Japo hata haihusiani na kutokaa mjini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umechachuka vibaya siku hizi wee, Dar ishakubadilisha yaan.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umechachuka vibaya siku hizi wee, Dar ishakubadilisha yaan.
Matani mengi siku hizi.
Kumenichangamsha kiasi chake..Sasa naweza kurudi mkoani.
Juzi niliona kigodoro Cha pili. Aisee zile ngoma zilivyokuwa zinapigwa nilitamani nijoin kukata mauno.
 
Back
Top Bottom