Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ulimfata? Kumbe mna anniversaries nyingi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hivi nina mtoto anaitwa Bk na sijui?
Sisi ni wakongwe eti, acha kabisa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Umemsahau eeh sijui ndio 1st au 2nd born, we kumbuka vizuri
Jina lingine ni BM, labda hilo utalikumbuka kwa urahisi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Sisi ni wakongwe eti, acha kabisa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Umemsahau eeh sijui ndio 1st au 2nd born, we kumbuka vizuri
Jina lingine ni BM, labda hilo utalikumbuka kwa urahisi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ emu msevu na ๐Ÿ” kwanzaa
The ukongweness is not poa ujue ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kabla hajajingโ€™atq naomba aachwe
 
Miss you more sweetheart!! Selfika nikuone mchana wangu uchangamke sis pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Ccy huku mvua inayesha toka sa kumi na mbili......sijafika ofisini nipo ofisini kwa rfk angu
Screenshot_20220907-124208.jpg
viatu vyangu vmechafuka vby nmezama kweny tope.....nmepewa hizo malapa na soksi...Leo nkifika ofisini boss atanitoa nduki
 
Ccy huku mvua inayesha toka sa kumi na mbili......sijafika ofisini nipo ofisini kwa rfk anguView attachment 2348744 viatu vyangu vmechafuka vby nmezama kweny tope.....nmepewa hizo malapa na soksi...Leo nkifika ofisini boss atanitoa nduki
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ!!
Poleni na Hongera sana kwa mvua sisss ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜!
Asante kwa kuselfikaaa kipenzi Walau nimekuona mchana wangu utachangamka kabisa!!
Wabheja sana ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜!!
 
Back
Top Bottom