cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,336
- 188,025
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cuzooooo leo simba kaharibu mgodi wa dhahabu huko.Mama yeyo unalia nn wakat mm nipo zaidi ya simba njoo nkutulize
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cuzooooo leo simba kaharibu mgodi wa dhahabu huko.Mama yeyo unalia nn wakat mm nipo zaidi ya simba njoo nkutulize
Mremboooo, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Woii nimepitwa[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064] kuna nn[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nahisi kulia mepitwaaaa
Mzungu wa selfika, [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoooo, uwiiiiiihHuko field wanamnyima sana uhuru mpaka siyo poa. Anaingia JF kwa machale sana kama digidigi mpaka anashindwa kufuatilia na kujibu post kwa post. Haifurahishi kabisa! [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF imekunyoosha, chezea weyeeeeAwapi huku ni tofauti sanaaa msukuma kwanza Hakuna uhalisia hata chembeeee!!!! Huku fimbo ya mbaliiiiii [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6] Sitaki hekaheka mieee!![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Huku needs lot of time and preparations socially physically mentally spiritually and economically na mambo ni mengi muda mchacheeee arrrgghhhh [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Wacha nipambane nahali yangu huku
niliko Jf Siwaweziiii[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]!!
Mic u shougareeeeee akee, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Kabisaaa;!! Nishammiss mpaka basi hapa!![emoji18][emoji18][emoji6]
Kumekuchaaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikutakie usiku mwema wewe mwenye upole, usiye na makuu, thamani yako ipo moyoni, japo kuiona kwa macho ni ngumu, pokea salamu za usiku, ardhi na mbingu zikawe mashaidi wa pendo langu kwako, toa shaka na wasiwasi moyoni, liwake jua mchana ntakupenda, mwezi uchomoze usiku ntakujali, likizo nkipata ntakupeleka ibiza Spain, hela nkizishika ntakununulia Jamii forums, ukiota njozi uote zile mwanana za upendo, ntakuvumilia na kukuheshimu katika furaha na majonzi, usikibane kikohozi cha mapenzi, Poker nipo kukuvusha bahari na yatch ya kifahari, ntakupamba kwa vito vya thamani yaani rubi na almasi, ukihisi kuchoka ntakupeleka sayari ya mars kutembea, hizi ni salamu za usiku, zinatoka kwa huba la kasi kupitia upepo wa baharini, zikufikie habibty wangu tulizo la moyo wangu Antonnia [emoji847][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada naichukua hii, kuna mtu nataka aione.[emoji119]View attachment 2326119
Mic u dear, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Life is either a daring adventure or nothing at all .
Mapenzi yamewafikia wenyewe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji445]Wanakesha wakiomba tuachane
Wanaupaka rangi upepooo[emoji444]
Ufe nkuzike tuzikanee
Kesho tukakutane kwa pepoo[emoji443]
Hasii na chanya tugandanee [emoji444][emoji445]
Kisha tuzidishe tempoo
Bila sita saba nanane hata kumi Isingekueooo[emoji445]
Tena unavyonisuuza hujikwezi
Sio wa kulala Buza ushinde Mbezi
Yani unawaburuza hawakuwezi[emoji445]
Umeniteka Babaaa
Watoto wa Mombasa Huko Kenyaa
Wanitamani ndizi ya kumenyaa[emoji444][emoji445]
Wanajiuliza vipi umepenya
Mpaka Tonniah hapinduii[emoji12][emoji12][emoji12][emoji15][emoji15]
Akina Carrymastory wanakusengenya
Navile huwajibu wanajitekenya
Na ulivo na sifa unanipa tena[emoji445][emoji444]
Yani mpaka asubuhiii
Kiufupi umeniziba mdoo mdoo mdomoo.......…..
Yani baby umeniziba mdooo mdoo mdomoo...[emoji445][emoji444]
Usiku mwema wapendwa [emoji3577][emoji8] Lovelovie sis amesubiria sana mpaka usingizi[emoji99][emoji42][emoji99][emoji99][emoji42]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaa!!!!!![emoji445]Na ikitokeaa umemwonaaa mvute chini umwambie mwenzake mii sijiweziiiiii
Yee ndio wa kunifanya nikaponaa mwana wa mwenzieeee haya maradhi ya mapenziiii[emoji445][emoji444]
.............................................................
Uuuuuuuuuuuuuuuuuu
Bbbeiibeii bebebeiiii ibeeeeeee
Kwenye kivuli cha picha yangu nakuona wewe mybooo
You do me like I dooo mhmmhmm
Tuwape maswali yasiyo na jibu Tuwapunguze gubuuu eeehh
Tuzichore tatooo mhmh yeah
Yani nimeoza kwako chakachakaa[emoji444]
Kipa magoli kwako nanyaka nyaka
Chochea kuni moto tayari nishawakaa....[emoji444][emoji445]
....................................
[emoji445][emoji444]Only you baby mwingine sidhanii
Nimekuweka ndotoniii
Nimekuvika kidani cha mapenzii[emoji445][emoji444]
.........................
Shati zuri, [emoji8][emoji8][emoji8]Sina usingizi, sina kazi..
Nipeni kazi Wakuu hata za data entry nisukume siku mie.
View attachment 2326950
Mic u most, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Mic u more coca
Mimi pia aunt nimefurahi sanaShangazi mic u, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nna furaha kwa ushindi wa leo.