Msamehe tu chiefNimeimia sana rohooo yanguuu 🥹🥹🥹😭😭😭😭😭 huyo nitampata tuuu acha hizo namba nizipeleke mtamboni tuone nani kautumia hivyo vocha ndio atajua hajui kuchukua vocha yangu
Inabidi uhakiki namba kwanza asije akawa aunt Lizzy 😁😁😁
Msamehe tu chiefNimeimia sana rohooo yanguuu 🥹🥹🥹😭😭😭😭😭 huyo nitampata tuuu acha hizo namba nizipeleke mtamboni tuone nani kautumia hivyo vocha ndio atajua hajui kuchukua vocha yangu
😀😀😀😀 huyo hawezi nihujumu hili halitoisha salama hapa, kwa usalama wake arudishe vocha yanguMsamehe tu chief
Inabidi uhakiki namba kwanza asije akawa aunt Lizzy 😁😁😁
We jitetee tu hapaSijaichukua mie bro, situmii halotel saivi
Sio mimi bana
Mama yeyo unalia nn wakat mm nipo zaidi ya simba njoo nkutulizeCuzoooo mwenzio nalia Simba tumekosa Ngao.
NambiyCuzoo huyooo
Tutajenga kweli?
Kujenga umewaza mbali, kununua tu kiwanja mtihani 😀😀😀Tutajenga kweli?
🔥🔥🔥🔥 splendid
Hii uswazi hiyo mishkaki kama ya mbwa vile kama kondoo yani haieleweki kikubwa unashiba 😀😀Hii mambo
Ni pale palee![]()
Hivi kumbe mna wimbo wenu eeeh 😀😀😀Hii mambo
Ni pale palee![]()
Nikajua ushajenga 😳😳Tutajenga kweli?
MamboNambiy
Wasalimie hapo Mbalizi mojaJioni njemaView attachment 2325423