Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Walioko humu ndo wako huko huko mtaani Bosi Ledi. Unafikiri waliomo humu wanaishi mbinguni?

Hebu pita naked basi niendelee na mishe zangu. Nataka kuingia kwenye freeway...
Awapi huku ni tofauti sanaaa msukuma kwanza Hakuna uhalisia hata chembeeee!!!! Huku fimbo ya mbaliiiiii πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ Sitaki hekaheka mieee!!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Huku needs lot of time and preparations socially physically mentally spiritually and economically na mambo ni mengi muda mchacheeee arrrgghhhh πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Wacha nipambane nahali yangu huku
niliko Jf SiwaweziiiiπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰!!
 
Walioko humu ndo wako huko huko mtaani Bosi Ledi. Unafikiri waliomo humu wanaishi mbinguni?

Hebu pita naked basi niendelee na mishe zangu. Nataka kuingia kwenye freeway...
Naked namsubiri Pau bae nilimpromis sasa simuoni na nina usingizi hatareee πŸ’€πŸ’€πŸ˜΄πŸ’€πŸ˜΄πŸ˜΄
 
Awapi huku ni tofauti sanaaa msukuma kwanza Hakuna uhalisia hata chembeeee!!!! Huku fimbo ya mbaliiiiii πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ Sitaki hekaheka mieee!!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Huku needs lot of time and preparations arrrgghhhh yote hio yanini!!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Wacha nipambane nahali yangu huku
niliko πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰!!
Nakuelewa japo sikuelewi; halafu tena ni kama nakuelewa. Nitakuja unieleweshe mpaka nielewe...

Hayanaga mwongozo. Love can strike anytime anywhere ....ila sema tu binadamu wa siku hizi ni wabishi sana πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ–πŸ–πŸ–πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Nakuelewa japo sikuelewi; halafu tena ni kama nakuelewa. Nitakuja unieleweshe mpaka nielewe...

Huwaga hakuna fomyula. Love can strike anywhere anytime....

Hayanaga mwongozo....ila sema tu binadamu wa siku hizi ni wabishi sana πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ–πŸ–πŸ–πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ utaelewa tyu msukuma elimu haina mwisho! Sema nene Mambo yao tuwaachie wenyewe mkuu yasikuumize kichwaaa! Uwe na wakati mwema huku sasa ni saa 23:26 pm Tuesday August 16!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ utaelewa tyu msukuma elimu haina mwisho! Sema nene Mambo yao tuwaachie wenyewe mkuu yasikuumize kichwaaa! Uwe na wakati mwema huku sasa ni saa 23:26 pm Tuesday August 16!
Nikutakie usiku mwema wewe mwenye upole, usiye na makuu, thamani yako ipo moyoni, japo kuiona kwa macho ni ngumu, pokea salamu za usiku, ardhi na mbingu zikawe mashaidi wa pendo langu kwako, toa shaka na wasiwasi moyoni, liwake jua mchana ntakupenda, mwezi uchomoze usiku ntakujali, likizo nkipata ntakupeleka ibiza Spain, hela nkizishika ntakununulia Jamii forums, ukiota njozi uote zile mwanana za upendo, ntakuvumilia na kukuheshimu katika furaha na majonzi, usikibane kikohozi cha mapenzi, Poker nipo kukuvusha bahari na yatch ya kifahari, ntakupamba kwa vito vya thamani yaani rubi na almasi, ukihisi kuchoka ntakupeleka sayari ya mars kutembea, hizi ni salamu za usiku, zinatoka kwa huba la kasi kupitia upepo wa baharini, zikufikie habibty wangu tulizo la moyo wangu Antonnia πŸ€—πŸ˜
 
Nikutakie usiku mwema wewe mwenye upole, usiye na makuu, thamani yako ipo moyoni, japo kuiona kwa macho ni ngumu, pokea salamu za usiku, ardhi na mbingu zikawe mashaidi wa pendo langu kwako, toa shaka na wasiwasi moyoni, liwake jua mchana ntakupenda, mwezi uchomoze usiku ntakujali, likizo nkipata ntakupeleka ibiza Spain, hela nkizishika ntakununulia Jamii forums, ukiota njozi uote zile mwanana za upendo, ntakuvumilia na kukuheshimu katika furaha na majonzi, usikibane kikohozi cha mapenzi, Poker nipo kukuvusha bahari na yatch ya kifahari, ntakupamba kwa vito vya thamani yaani rubi na almasi, ukihisi kuchoka ntakupeleka sayari ya mars kutembea, hizi ni salamu za usiku, zinatoka kwa huba la kasi kupitia upepo wa baharini, zikufikie habibty wangu tulizo la moyo wangu Antonnia
Maisha yanaenda kasi sana
 
Screenshot_20220817-105306_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom