Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji445]Wanakesha wakiomba tuachane
Wanaupaka rangi upepooo[emoji444]
Ufe nkuzuke tuzikanee
Kesho tukakutane kwa pepoo[emoji443]
Hasii na chanya tugandanee [emoji444][emoji445]
Kisha tuzidishe tempoo
Bila sita saba nanane hata kumi Isingekueooo[emoji445]

Tena unavyonisuuza hujikwezi
Sio wa kulala Buza ushinde Mbezi
Yani unawaburuza hawakuwezi[emoji445]
Umeniteka Babaaa
Watoto wa Mombasa Huko Kenyaa
Wanitamani ndizi ya kumenyaa[emoji444][emoji445]
Wanajiuliza vipi umepenya
Mpaka Tonniah hapinduii[emoji12][emoji12][emoji12][emoji15][emoji15]
Akina Carrymastory wanakusengenya
Navile huwajibu wanajitekenya
Na ulivo na sifa unanipa tena[emoji445][emoji444]
Yani mpaka asubuhiii
Kiufupi umeniziba mdoo mdoo mdomoo.......…..
Yani baby umeniziba mdooo mdoo mdomoo...[emoji445][emoji444]

Usiku mwema wapendwa [emoji3577][emoji8] Lovelovie sis amesubiria sana mpaka usingizi[emoji99][emoji42][emoji99][emoji99][emoji42]
Tumbo ya nyigu[emoji91]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Andika tena shemeji yangu mpole Ila mtundu kitandani [emoji39][emoji39]
🎶Na ikitokeaa umemwonaaa mvute chini umwambie mwenzake mii sijiweziiiiii
Yee ndio wa kunifanya nikaponaa mwana wa mwenzieeee haya maradhi ya mapenziiii🎶🎵
.............................................................

Uuuuuuuuuuuuuuuuuu
Bbbeiibeii bebebeiiii ibeeeeeee
Kwenye kivuli cha picha yangu nakuona wewe mybooo
You do me like I dooo mhmmhmm
Tuwape maswali yasiyo na jibu Tuwapunguze gubuuu eeehh
Tuzichore tatooo mhmh yeah
Yani nimeoza kwako chakachakaa🎵
Kipa magoli kwako nanyaka nyaka
Chochea kuni moto tayari nishawakaa....🎵🎶
....................................
🎶🎵Only you baby mwingine sidhanii
Nimekuweka ndotoniii
Nimekuvika kidani cha mapenzii🎶🎵
.........................
 
Dadangu amefuta ila nimeiona. Anahitaji kula ugali, michembe na mabele maboboto (Wige atatafsiri) kila siku ili aongezeke angalau kidogo. Najua ni enzi za umodo lakini dah! 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Dadangu amefuta ila nimeiona. Anahitaji kula ugali, michembe na mabele maboboto (Wige atatafsiri) kila siku ili aongezeke angalau kidogo. Najua ni enzi za umodo lakini dah! 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Yuko Vizure sis angu black beauty 😘😘!!
 
Back
Top Bottom