Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
🤣🤣🤣Wakummiss mtu masaa mawili, umeamka hata hujasalimia mpk uitwe 😂😂😂
Mwizii
Nilikua sina bando
🤣🤣🤣Wakummiss mtu masaa mawili, umeamka hata hujasalimia mpk uitwe 😂😂😂
Mwizii
Wakubwa hatukosagi mabando, we imekuwaje🤣🤣🤣
Nilikua sina bando
Salama jirani, kama upo salama ndio furaha yetu.Nipo jirani, habari ya asubuhi
Sawa jirani, baridi msimu huu imekuwa swala la Kitaifa.Jirani Kumekucha.. huku kwetu baridi
Me bado najikongoja, bando la kuunga ungaWakubwa hatukosagi mabando, we imekuwaje
Najua wewe huwezi kukaa kimya ila kuwe na jambo. Pole jirani..🤣🤣🤣
Nilikua sina bando
Rudi utotoni basiMe bado najikongoja, bando la kuunga unga
Nami nafurahi kuona jirani yangu upo vemaSalama jirani, kama upo salama ndio furaha yetu.
😂😂Najua wewe huwezi kukaa kimya ila kuwe na jambo. Pole jirani..
Tutakuweka kwenye ignore list ohoooNiueni 😂😂😂
Unaona picha inavyowaka? B&W live longer 😍
Kwenye semina kuna wifi ya bure 😀 😀🤣🤣🤣
Ofisi gani jamani?
Niko busy na semina ya ukarani wa sensa hapa Isamilo Sekondari
Hamna jirani,, nimepauka na vumbi hadi kwenye kopeKwenye semina kuna wifi ya bure 😀 😀
Em tuone ndio tuaminiHamna jirani,, nimepauka na vumbi hadi kwenye kope