Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,210
- 183,059
Asante kwa taarifa sis mis u kimimii!😘😘Habari za Asubui.... Huku kwetu kulikua na mvua ngurumo na radi.....Muwe na asubui njema
Asante kwa taarifa sis mis u kimimii!😘😘Habari za Asubui.... Huku kwetu kulikua na mvua ngurumo na radi.....Muwe na asubui njema
Armada ipo vizuri hata muonekano 🔥🔥Wakati mwingine hata kama hakuna kitu mfukoni, mtu unajipitisha tu showroom ili kuangaza macho na kuona kinachoendelea katika ule upande mwingine.
Vieite hii Nissan Armada inabeba mtu nane nimeikodolea macho kweli kweli. The time will come! 😁😁😁🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Woii nimepitwa🥺🥺🥺🥺 kuna nn😅😅😅😅 nahisi kulia mepitwaaaaMie nimetoa maoni yangu nionavyo mimi kama limekugusa kula wembeee!! kama halikuhusu pita kushotoooo!! Tusipangiane cha kuandikia humu!
Kutokujiamini hakujawahi muacha mtu Salama!
Kwamba wewe ndie mwana selfika pepeako ama!! Wewe ndie una mbebez pekeako humuuu??? Mmmxxxiiieeewww! Jifunze kubalance shobooo pimbi wewe!!
Si mumeoMamdo Mjep kakupa Nini lakini??? [emoji2960][emoji2960][emoji847][emoji847]
Na ndugu yake huyu Infiniti QX80 japo bei yake ya moto kweli ingawa wanafanana sana na Armada. Na hii ndiyo shida mojawapo kubwa ya Nissan. Magari yao yanafanana fanana sana. Toyota wamejitahidi sana kuitenga luxury brand yao (Lexus) na Toyota za kawaida. Hawa Nissan bado. Sasa mtu hata huoni sababu ni kwa nini ununue QX80 kwa bei ya kufa mtu wakati linakaribiana sana na Armada ambalo bei yake ni ya kawaida...Armada ipo vizuri hata muonekano 🔥🔥
QX80 ni more powerful kuliko Armada. Na ninaona ni full luxury ingawa muonekana wa nje kama zataka fananaNa ndugu yake huyu Infiniti QX80 japo bei yake ya moto kweli ingawa wanafanana sana na Armada. Na hii ndiyo shida mojawapo kubwa ya Nissan. Magari yao yanafanana fanana sana. Toyota wamejitahidi sana kuitenga luxury brand yao (Lexus) na Toyota za kawaida. Hawa Nissan bado. Sasa mtu hata huoni sababu ni kwa nini ununue QX80 kwa bei ya kufa mtu wakati linakaribiana sana na Armada ambalo bei yake ni ya kawaida...
Weuwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdogo wangu Mida yetu uniite nikupe updates za mkanda![emoji6]
Kwa mama john near mbaliziIpo mitaa gani hii Lodge??kisia
EwaaMida yetu Naomba kuona Naked yako mdogo wangu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
Mambo pisi kali[emoji1787]Woii nimepitwa[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064] kuna nn[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nahisi kulia mepitwaaaa
Vipicha vidogo sana. Kwa vile unajisiliba emoji, jaribu kuziacha picha angalau ziwe kubwa kidogo [emoji870][emoji870][emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Siz@Antonia [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
View attachment 2325519
Niko poa wbuMambo pisi kali[emoji1787]
nitapita nayo nakedVipicha vidogo sana. Kwa vile unajisiliba emoji, jaribu kuziacha picha angalau ziwe kubwa kidogo [emoji870][emoji870][emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wachaa[emoji1787]Niko poa wbu
tho mie kienyeji [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nyumba yangu unaita Lodge??🤣Kwa mama john near mbalizi
Opposite kyela ndani ndani
Ukitokezea Sae pale kabla hujafika uzunguni
Ndio hapo hapo uyole
em niache mieWachaa[emoji1787]
Sema haki ya nani