Bossii wangu anitosha mkuu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌!Nikutakie usiku mwema wewe mwenye upole, usiye na makuu, thamani yako ipo moyoni, japo kuiona kwa macho ni ngumu, pokea salamu za usiku, ardhi na mbingu zikawe mashaidi wa pendo langu kwako, toa shaka na wasiwasi moyoni, liwake jua mchana ntakupenda, mwezi uchomoze usiku ntakujali, likizo nkipata ntakupeleka ibiza Spain, hela nkizishika ntakununulia Jamii forums, ukiota njozi uote zile mwanana za upendo, ntakuvumilia na kukuheshimu katika furaha na majonzi, usikibane kikohozi cha mapenzi, Poker nipo kukuvusha bahari na yatch ya kifahari, ntakupamba kwa vito vya thamani yaani rubi na almasi, ukihisi kuchoka ntakupeleka sayari ya mars kutembea, hizi ni salamu za usiku, zinatoka kwa huba la kasi kupitia upepo wa baharini, zikufikie habibty wangu tulizo la moyo wangu Antonnia 🤗😍
Siku 3 zote hizo? Mbona humpendi jiraniHaha
Hapana mkuu
Huyo ni zaidi ya mwezi sasa ndio maana nauliza,, isijekuwa ana majanga mazito,, namuombea arejee salama “ Ni miongoni mwa wale marafiki wema..
Wewe potea hapa siku 3
Nitakutafutaaa hadi google 😂😂
mie na wewe kukimbiana ni impossible future fyuchikooo 😂😂😂Si na mimi napotea. Tuone utakua unacheka na nani🤣🤣
Utapauka kwa stress mbona
Masaa mawili uwizi huo 🤣🤣Siku 3 zote hizo? Mbona humpendi jirani
Me jirani yangu myoyambendi asipoonekana hata kwa masaa mawili lazima nipate stress nianze kumtafuta
Kumbe wewe ni wa kwetu kabisa😍Huku Mwanza vijijini![]()
Aisee kwa mashairi haya imebak mimba tu kumpaNikutakie usiku mwema wewe mwenye upole, usiye na makuu, thamani yako ipo moyoni, japo kuiona kwa macho ni ngumu, pokea salamu za usiku, ardhi na mbingu zikawe mashaidi wa pendo langu kwako, toa shaka na wasiwasi moyoni, liwake jua mchana ntakupenda, mwezi uchomoze usiku ntakujali, likizo nkipata ntakupeleka ibiza Spain, hela nkizishika ntakununulia Jamii forums, ukiota njozi uote zile mwanana za upendo, ntakuvumilia na kukuheshimu katika furaha na majonzi, usikibane kikohozi cha mapenzi, Poker nipo kukuvusha bahari na yatch ya kifahari, ntakupamba kwa vito vya thamani yaani rubi na almasi, ukihisi kuchoka ntakupeleka sayari ya mars kutembea, hizi ni salamu za usiku, zinatoka kwa huba la kasi kupitia upepo wa baharini, zikufikie habibty wangu tulizo la moyo wangu Antonnia![]()
🤣🤣🤣 we bisha ila ndo hivyo, wengine tunawajali majirani zetuMasaa mawili uwizi huo 🤣🤣
Sawasawa jirani..Kheee 🤣🤣🤣
Basi wakati mwingine,. Ila tukikumiss sahivi itakuwa ni uwizii 😂😂
Asanteeeeeeee!😉😉🤭🤭🤭🤭🤭!!
🙏 Asante jirani..🤣🤣🤣 we bisha ila ndo hivyo, wengine tunawajali majirani zetu
Ikifika halotel mniachie basiSelfika na #voda#
*104*623466953056971#
Mie mzima jirani, nashukuru jirani yangu unaenijali, Mungu akupe baraka teleee.....Sio kwa mbali jirani, ni kwa saaaana. Sina jirani mwingine zaidi yako.
Uhali gani jirani yangu, natumai umeamka salama
Go bwanaaa 🤣🤣🤣🤣🤣 we bisha ila ndo hivyo, wengine tunawajali majirani zetu
Mpe nanii apone ujue anaumwa kwa ajili yakoMr vocha Mjep unaendeleaje????
Get a quick recovery Bossi wetu selfika!!
🤣🤣🤣🤣 tunaanzaje labdamie na wewe kukimbiana ni impossible future fyuchikooo 😂😂😂
Unajua kabisa mimi na stress kila mmoja anamkwepa mwenzake 🤸🏻♀️