Hii kaja nayo hana hata wiki shoss weee Ngoja kwanza amalize mwezi wengine huwa wanachachuka hata wiki mbili haziishi!!shougaaaaaah hebu mbadilishie cm mdada bhanaa, unataka hata kamchumba kake kasiwehuke nawee??
✌️Mremboooooh.
Boss ww haya pensi zinakupendeza sana guu guu yani mtoto laini au uliumbwa kwa chocolate
Tumepigwaaaaaaaaaa
Nilishani umeshatoka kanisani mdogo wangu yako nakuletea pmUmesubiri siku ya j2 wakereketwa tupo kanisani ndio uweke hahqh!
Mmmmmmmh
Wakereketwa huwa tunabaki kutandua mapambo.Nilishani umeshatoka kanisani mdogo wangu yako nakuletea pm
Hahaha....si kwa sifa hizoSiamini macho yangu mjue toka nizaliwe Leo ndyo nimewahi vocha ya halotel ubarikiwe sana Tajiri Mjep wa roho usiye na makuu mutu pekee mwenye bodyguard 4 View attachment 2294167
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app


Hapo kwenye kutoka baa naomba niwatag ndugu mjumbe.Kwema kabisa Carrasco putin humu ndani tumeamshwa na Antonnia na Lovelovie. Bado wengine wamelala akina cocastic na wengine wako church akina Saint Anne na wengine ndio wanatoka bar muda huu akina.............,,,,,, Wameshajijua! 🤣
HahahaMsukuma una iPhone 14 pro max Tajiri wa kisukuma anayemiliki rock city mall
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Jana katisha sana kwenye game ya kwanza ya pre season hapo USMyLove For CFC tamsana View attachment 2294208
Ayaaasa🙆♂️🙆♂️🙆♂️Lovelovie Mjep @cocadtic Pau Bae Carrasco putin Poker nishageuka mjue nimewaitaa weeehhhhh sijawaona!!
Mmechelewaaaaaa!!!Ayaaasa🙆♂️🙆♂️🙆♂️
IrudiweMmechelewaaaaaa!!!
Naona hazikuiUnekuzaa dada,![]()