Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,864
Niongezee basi 🏄♂️🏄♂️Mama umekua na speed sana kwenye hii
Heshima yako
Niongezee basi 🏄♂️🏄♂️Mama umekua na speed sana kwenye hii
Heshima yako
Ili bando la elf 2 la wiki likamilike[emoji2][emoji2]Nyingine tenaaa [emoji2101][emoji2101]
Ya mwisho [emoji1787]
Nikupe yakuiwahi au yakwako personal?Niongezee basi [emoji2101][emoji2101]
Wana speed ya roketi🤣🤣🤣🤣
Pesonoooo bana 🤣🤣 au kama ya kuwahi naomba dk 10 nimalize chaiNikupe yakuiwahi au yakwako personal?
Mbona unapenda kujilimbikizia mali, zile GB 10 hazikutoshi auNyingine tenaaa 🏄♂️🏄♂️
Ya mwisho 🤣
Nadhani alilalia kisicholaliwa..[emoji23][emoji23] kwani ulikua wapi usiku jaman
Alikua anamrutubisha junia🤣🤣🤣😂😂 kwani ulikua wapi usiku jaman
Nakuletea pmNyingine tenaaa 🏄♂️🏄♂️
Ya mwisho 🤣
Hizi naweka tigo didi 🤣🤣🤣🏄♂️Mbona unapenda kujilimbikizia mali, zile GB 10 hazikutoshi au
Naisubiri 🏄♂️🏄♂️🏄♂️🏄♂️Nakuletea pm
Nililala vizuri tu, sema nililala upande wa ukutani na mara nyingi uwa nalala mwanzoni 😁😂😂 kwani ulikua wapi usiku jaman
Hujambo..umelala mwenyewe jirani?Nililala vizuri tu, sema nililala upande wa ukutani na mara nyingi uwa nalala mwanzoni 😁
Nakuona jirani..Salam kwako.myoyambendi Hello good neighbor 👋