Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23] Hamna mtu wangu wa nguvu.. nilikuwa nataka tu kukuchanganya SI unajua wakati mwingine nakuja hapa kutua stress zangu .. nakuwa opposite na Kila jambo.. kuachana SI jambo zuri napenda watu wakianzisha kitu Hadi wazikane..
Ewaaaaaah hapo sasa umenenaaaa Mr Kahawa.
Bravoooh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mito yangu 4, naikumbatia hadi inashindwa kusema tumechoka tafuta binadamu mwenzio.

U singoo huu, mie mzima dear vipi wee [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hahahaha aisee
Ila wewe sio single bhana .. ulivyo hivyo mtoto mrembo, cheupe , glowing skin portable ile mbaya .

Nipo poa pia
 
Kuna Ile, ni mnakuwa wapenzi, marafiki, washakaji, wana, masela na hata business partner Kwa wakati mmoja, watu wa hivi utakuta wameachana ila still wapo pamoja na furaha na amani kama zote..
Very rare 🤣🤣🤣

Wabongo unaachwa huachikii, kutwa kumfatilia X wako anakwendaje na mambo yake 😂😂😂
 
Back
Top Bottom