Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,222
Ndiyo jirani… 😁 yan nimeamka nina wenge la usingizi balaa…Hujambo..umelala mwenyewe jirani?
Nikatia maji kwenye kettle nikarudi kulala, zile dk 10 za maji kuchemka lkn bado nimejaa usingizi hapa
Ndiyo jirani… 😁 yan nimeamka nina wenge la usingizi balaa…Hujambo..umelala mwenyewe jirani?
Njoo uangalie kwangu hata ukichoka hutalala ukutani😅
Pole jirani..usilale mwenywe weekend..Ndiyo jirani… 😁 yan nimeamka nina wenge la usingizi balaa…
Nikatia maji kwenye kettle nikarudi kulala, zile dk 10 za maji kuchemka lkn bado nimejaa usingizi hapa
Safi sana..Njoo uangalie kwangu hata ukichoka hutalala ukutani😅
😅😅 kwako getini si kuna tangazo ‘kuna mbwa mkali??Njoo uangalie kwangu hata ukichoka hutalala ukutani😅
Niwe nalala wapi sasa jirani?Pole jirani..usilale mwenywe weekend..
Mjep Kajitolea pa kulala...weekend akitoka Holili akushike mkono.Niwe nalala wapi sasa jirani?
Weekend ilikuwaje jirani..Nimekunywa 2cups of coffe lakini usingizi haukati…
Leo nitakuwa na siku ngumu 😩
Katumwa mtu akaleteBrian Spilner nimemaliza![]()
KwanguNiwe nalala wapi sasa jirani?
Nimeganda hapa 😋Katumwa mtu akalete
Usitoke hapo
Sawasawa..Kwangu
Huelewi nini wewe
Jirani yako ameshasema
Sawa tutaona 😀 giza likiingiaKwangu
Huelewi nini wewe
Jirani yako ameshasema
Sasa nimeanza kuona umuhimu wa hiki cheo cha ujiraniMjep Kajitolea pa kulala...weekend akitoka Holili akushike mkono.
Ilienda tu poa,, full kuzurura tuWeekend ilikuwaje jirani..
Mpakani Tz na Kenya.Holili ni wapi?
Aah basi huyo sio mtu mzuri 🤣 hawezi kuwa gaidi?Mpakani Tz na Kenya.
Ila ukija usivae kale kakaptula nitakachana wallah😅Sawa tutaona 😀 giza likiingia