cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,175
Poaaaah
Poaaaah
OMY 🚶🏽♀️ 🚶🏽♀️ 🚶🏽♀️ 🙂Kesho fanya mpango njoo karibu na Uwanja wa farasi nikuonyeshe zilipo, Sometimes what you dont see is right there infront of your eyes![]()
Tutamblock tusione hizo status zake awe anajiimbia mwenyeweNamshangaa sana
Na sijui anapata wapi huu ujasiri
Good morning beautiful LenieTutamblock tusione hizo status zake awe anajiimbia mwenyewe
Umeamka salama madam?We unawahi kuamka kaah!!!
Niko salama nashukuru kabisa Mungu mwema,sijui weyeUmeamka salama madam?
Tunawahi majukumu mama angu kabla monday haijawa blue
hahaaMhhh hapana humu hapana kitu nishajionea..... Maajabu sema mtu unakaa tu kmya
I am fine beautiful!Morning Sir, how are you
Umeamka salama madam?hahaa
Wote ni walewale dia sema nini..tuishi nao humohumo tu!!Amekaa kimchongo kweli kweli.... Sema me madaktari hapana.... Me nataka wale wanaofanya kazi TRA peke Yaonakuzingua bn ccy Antonnia
Wote washennzzyyy tu dia!! sema no way tuishi nao ivoivo kwa kutuliaCcy Kuna zile njemba zinafanya Kazi mgodini yelewiiii.... Zile njemba zinazopandisha mizigo yao ile inasoma PPM kubwa kubwa yelewiiiii....Acha kabisa ccy
Ndio Nimeamka salama mkuu!Umeamka salama madam?
Kumbe hautak yakwako tu we mtoto washanga angalianimecheka mnoooo, khaaaah.
Weka vochaaaa hapa, sijasema M-PESA mie naweee.
Nashukuru ccy yani hii jinsia awajawai kua salama ni wachache sana..... Sema ni kuomba Mungu sana piaWote washennzzyyy tu dia!! sema no way tuishi nao ivoivo kwa kutulia
Tupia ya asubuhi dada aanze wiki vizuri sis ake jamani!!Nashukuru ccy yani hii jinsia awajawai kua salama ni wachache sana..... Sema ni kuomba Mungu sana pia
Shikamoo ccy AntonniaWote washennzzyyy tu dia!! sema no way tuishi nao ivoivo kwa kutulia
Sawa natupia chap loveTupia ya asubuhi dada aanze wiki vizuri sis ake jamani!!