cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,068
Umepigwa KO, au Technical draw? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wako kasi [emoji23][emoji23][emoji23]
Umepigwa KO, au Technical draw? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wako kasi [emoji23][emoji23][emoji23]
Uko makini sanaAww [emoji4] View attachment 2294956
Blessed B
Unaweka kulinda line isifungiwe sioHizi naweka tigo didi 🤣🤣🤣🏄♂️
Zile ziko kwa smartphone’ voda
Selfika basiUko makini sana
Amen
Shangazi 🤦🤦🤦Mjomba!!
Anakusingizia eeh😂Usiaminiii
Me bado mtoto sana 🙈
[emoji23][emoji23]Usiku mnenee. Lazima tupige story.
Nipo singoooo, sasa nilale mapema ya nn dear??
[emoji23][emoji23][emoji23]
😄😄😄😄😂😂😂 Hamna mtu wangu wa nguvu.. nilikuwa nataka tu kukuchanganya SI unajua wakati mwingine nakuja hapa kutua stress zangu .. nakuwa opposite na Kila jambo.. kuachana SI jambo zuri napenda watu wakianzisha kitu Hadi wazikane..Nimeshindwa mie, tuachane na hayo
Nazitumia bana 🤣Unaweka kulinda line isifungiwe sio
Coz am sure huzitumii, venye voda bando limejaa adi linataka kumwagika😂
Hebu fungulia dimba nifate nyayoSelfika basi
@Tinsley uko single..!!, ngoja nikajipake maji ya mwamposa nije.[emoji23][emoji23]
Acha tukeshe tu sie single ladies
Vipi dear mzima ?
Usinichomeshe mahindi 😊Hebu fungulia dimba nifate nyayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuachana kupo, ila ninapochoka watu wana achana afu wanakua na ukaribu km mwanzo, sijawahi elewa.Basi nilikuwa namchangamsha cocastic mtu wangu wa nguvu.. Sipendi kabisa watu waachane na Huwa naumia sana kuona watu wana achana.. Huwa napatwa sana na huzuni kuachana SI jambo zuri
Ukiona watu wame achana na still wapo pamoja.. Ujue hai watu walikuwa ni zaidi ya wapenzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuachana kupo, ila ninapochoka watu wana achana afu wanakua na ukaribu km mwanzo, sijawahi elewa.
😂😂😂😂 unataka kusemaje? Mm ya uadui ndio uwa naishangaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuachana kupo, ila ninapochoka watu wana achana afu wanakua na ukaribu km mwanzo, sijawahi elewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mito yangu 4, naikumbatia hadi inashindwa kusema tumechoka tafuta binadamu mwenzio.[emoji23][emoji23]
Acha tukeshe tu sie single ladies
Vipi dear mzima ?
Ukijiunga nipigie badae tupunguze masaa ya j3😂Nazitumia bana 🤣
Kumbuka ile siku nilikupigia nayo?
Hapa nasubiri ifike 5k nijiunge View attachment 2294969