Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji23] mie ukipata mainjinia fanya kunipasia hapa mie[emoji144][emoji144][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!
Kasheshe nao sijui wanawapenda walimu Mungu wangu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji134][emoji134][emoji134]!!
Nataka kutotoa toto moja Jiniaz like daddy akee!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nna bahati ya kuwapata Ma Dr,
Ila aaaah sijawahi waelewa.
 
Ccy Kuna zile njemba zinafanya Kazi mgodini yelewiiii.... Zile njemba zinazopandisha mizigo yao ile inasoma PPM kubwa kubwa yelewiiiii....Acha kabisa ccy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mbna umechachuka sanaaaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3531]!! Kitu cha burundi cheusi tiiiiiiiii!!! Kitakua na joto balaa hiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaaa nimechekaaa kwa sautiiiiiii.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ety mzeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakika tena posts zako nilikuwa naziogopa ili nisimkwaze bobi kizee🤣🤣
 
Back
Top Bottom