Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Unadatisha humu ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila jamani
Sema tu ukweli wako
Huko pm vipi mafuriko[emoji848]
Unadatisha humu ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila jamani
Wa kike kabisa kabisa kabisaHuyo rafiki
Je swali
Wa kike/kiume[emoji848]
Mhhh huko pm hakuna hata mmja anaenipm wako waziUnadatisha humu ujue
Sema tu ukweli wako
Huko pm vipi mafuriko[emoji848]
Mguu mguu mguuGlenn Wigelekelo Lovelovie [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Utakuwa umepiga padlockMhhh huko pm hakuna hata mmja anaenipm wako wazi
Inachoma ee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila jamani
Mwambie mkuuNamshangaa
Mhhh hapana humu hapana kitu nishajionea..... Maajabu sema mtu unakaa tu kmyaUtakuwa umepiga padlock
Hebu fanya kufungua
Halafu ujione maajabu saba ya JF
Inachoma sanaInachoma ee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee shouzzzzz una kinga hiyooo.Hahahaaa... Siogopi hata mbona mie nishapigana nao live sikuhizi wananiogopa hatariii! Nina nina kama 3 years tangu niwabutue sikuhizi Hawanigusii wala kunisogeleaa!!!
Keshoo.Selfiiii kipenzi hujamuwekea selfii !!
Hivi lovie huwezi badili hivyo avatar mwanangu?Inachoma sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo Dr ana kilanga lol. Ni kijana au?,cocastic Antonnia
Basi ety nesi kanikuta nmelala ananambia umelala wakati we upo hapa kwa ajil ya kumuangalia mgonjwa nkamwambia najua kilichonileta..... Ety ooh hauruhusiwi kulala wodini unatakiwa ukae hadi kukuche nkamwambia ww dada we ujui nmeshindwa vip niache tu na mambo yangu.... Ety kanuna kasema anakuja na Askari nashangaa kaingia doctor... Doctor mwenyewe anasema kama mgonjwa ameshalala na ww jipumzishe.... Nmeletewa maziwa na daktari sijui kayatoa wapi amenambia kesho nkitoka hospital niende kwake nkapumzike eeeh nkasema hapa sasa balaa lishaanza
Kwani Ina shida gani mkuu?!Hivi lovie huwezi badili hivyo avatar mwanangu?
Tupoooooo bado.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah we.Safiiii.... huyo nesi atavimba apasuke mbona!!
Wee nenda tu kwa dokta nenda kamsamilie tu dear [emoji8]!!
Ina maanisha jambo kwako labda?Kwani Ina shida gani mkuu?!
Dr ni katikati ya kijana na uzee.... Ananukia mno amekaa kimchongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo Dr ana kilanga lol. Ni kijana au?
SawA ngoja niitoeIna maanisha jambo kwako labda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amekaa kimchongo kweli kweli.... Sema me madaktari hapana.... Me nataka wale wanaofanya kazi TRA peke Yao[emoji1787][emoji1787]nakuzingua bn ccy Antonnia