Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Coca na TTCL wapi na Wapi wee cuzoo nawe [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]@cocastic huyu cuzoo wako mtawezanaaa kweli [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuwezane wapiiiii? Ashanishindwaa huyoooo.
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sweetie nilikua sijaiona hii komenti hakii nimecheka kama chizi hukuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
,cocastic Antonnia
Basi ety nesi kanikuta nmelala ananambia umelala wakati we upo hapa kwa ajil ya kumuangalia mgonjwa nkamwambia najua kilichonileta..... Ety ooh hauruhusiwi kulala wodini unatakiwa ukae hadi kukuche nkamwambia ww dada we ujui nmeshindwa vip niache tu na mambo yangu.... Ety kanuna kasema anakuja na Askari nashangaa kaingia doctor... Doctor mwenyewe anasema kama mgonjwa ameshalala na ww jipumzishe.... Nmeletewa maziwa na daktari sijui kayatoa wapi amenambia kesho nkitoka hospital niende kwake nkapumzike eeeh nkasema hapa sasa balaa lishaanza
 
Back
Top Bottom