Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Amen madam
Yaani nilidhani nakukwaza
Na kama nimekukwaza na mwingine yeyote mnisamehe tuu kweli, au akitokea mwingine kakwazika nisaidie kuniombea msamaha tafadhali
Utukwaze kwa kipi, kwanza ndo tunataka unavochangamka maana ulizubaa sana wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuma vocha watakusamehe hio ndio asali yao!
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mr vocha kajiapatia unarudi walai !!!!
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee!!!! Leteni hivo vocha nyie leteni tyu!!💃💃💃😉😉
 
Utukwaze kwa kipi, kwanza ndo tunataka unavochangamka maana ulizubaa sana wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣😂 umeonaa eehhh Walau saivi kachangamka Kweri kweriii naona huu mwaka wake mbona!🤣🤣🤣😂😂
 
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mr vocha kajiapatia unarudi walai !!!!
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee!!!! Leteni hivo vocha nyie leteni tyu!![emoji126][emoji126][emoji126][emoji6][emoji6]
Babe tuma ka picha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] umeonaa eehhh Walau saivi kachangamka Kweri kweriii naona huu mwaka wake mbona![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Tunamchangamsha mnoooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu alikua wa, kuchati hapa? Si akiweka vocha tyuuh kimyaa ku like, nusu awe mkwepu Jr,

Kakutana na kina coca wacha wamjanjarushe, leo huyu analeta mastory hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mie muongo? Wee Mjep semaaa hapa
 
Back
Top Bottom