Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

,cocastic Antonnia
Basi ety nesi kanikuta nmelala ananambia umelala wakati we upo hapa kwa ajil ya kumuangalia mgonjwa nkamwambia najua kilichonileta..... Ety ooh hauruhusiwi kulala wodini unatakiwa ukae hadi kukuche nkamwambia ww dada we ujui nmeshindwa vip niache tu na mambo yangu.... Ety kanuna kasema anakuja na Askari nashangaa kaingia doctor... Doctor mwenyewe anasema kama mgonjwa ameshalala na ww jipumzishe.... Nmeletewa maziwa na daktari sijui kayatoa wapi amenambia kesho nkitoka hospital niende kwake nkapumzike eeeh nkasema hapa sasa balaa lishaanza
Hayo maziwa utayalipia😂😂😂
 
Safiiii.... huyo nesi atavimba apasuke mbona!!
Wee nenda tu kwa dokta nenda kamsamilie tu dear !!
 
Ccy em fikilia hospital ya gvt tena private grade one wanaweka kakitanda kamgonjwa na kakiti kamoja.... Si kuumizana migongo huku
Ndio walivyoo mamy na ukikutana na nesi mwenye sitiresi zake ndio kama hivoo!!
 
Doctor sio mzee sio kijana.... Ila ananukia huyo
Khakhakhaaaa!!! kwa uzoefu wangu huyo nenda nae kwa step mamaa ukikaa vibaya anakupenya huyoo na ushaanza kumsifia manukato ohoooooo 😂😂🤣🤣🤣🤭!!
 
Khakhakhaaaa!!! kwa uzoefu wangu huyo nenda nae kwa step mamaa ukikaa vibaya anapita huyoo !!
Amekaa kimchongo kweli kweli.... Sema me madaktari hapana.... Me nataka wale wanaofanya kazi TRA peke Yaonakuzingua bn ccy Antonnia
 
Back
Top Bottom