ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,519
- 126,901
Kweli Tena..au huamini?[emoji1787]
[emoji23][emoji23]mimi nionyeshe mvi tu Saint anneSasa hapa mnataka kuona mvi au ushungi!? Eti Eli79
Kweli Tena..au huamini?[emoji1787]
[emoji23][emoji23]mimi nionyeshe mvi tu Saint anneSasa hapa mnataka kuona mvi au ushungi!? Eti Eli79
Wengi, the competition is real.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]rhetorical questions [emoji2][emoji2]
Umenikumbusha mambo ya language 2. Hapana mkeeéee
Hutaniona amini nakuambia[emoji23][emoji23].
Labda niitwe na zurri au lizarazu [emoji1787]
woman of substance...that's my girl!!!Karibu sana jamani!!
Ndo niko ushagoo nachunga mbuzi kidogo!
HahahaaNasema hiviii
Nakuogopaa
Huyu zurri najua Ni shemeji yangu kwako na kwa Depal[emoji23]Wacha wee,, mashemeji zetu hao..
Nina ushungi Sasa[emoji1787][emoji23][emoji23]mimi nionyeshe mvi tu Saint anne
Ulikosa mengi sana kutopita paleHahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Umenichekesha..
Na zile kenta zenu mnapanda katumba,mnaning'inia Kama mizigo.
Sister Kuna kipindi walishawahi kutumbukia na kenta darajani[emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu sana jamani!!
Ndo niko ushagoo nachunga mbuzi kidogo!
MviSasa hapa mnataka kuona mvi au ushungi!? Eti Eli79
Kumbe alikufa MMoja maskini[emoji134][emoji24].Alifariki mmoja,, ila nimegundua gari ikipinduka juu chini chini juu ina uwezekano isiue watu wengi kuliko ikipinduka kiupandeupande..
Kuna siku nilienda kutembea milimani kule barabara ya chunya wakati narudi nakuta ajali ya basi ilikuwa imebeba wanajeshi wadogo wadogo ndiyo wametoka kupiga course tabora wanaenda mbeya kupewa ajira na hilo basi walikodiwa na jeshi ila ndiyo lilikuwa bovu hasa kwenye usukani
Ikafika sehemu likapinduka kiupandeupande,, kwa mara ya kwanza nilishuhudia live utumbo wa mtu unazolewa zilienda ambulance mbili na gari za jeshi ila maiti na majeruhi bado hawakuisha walikuwa wengi kama 100 hivi halafu ni vijana wadogo tu kwenye miaka 20 hivi
Walioumia sana na kufariki ni wale waliokuwa upande ambao lile basi lililalia baadaye ndiyo wakaja kulinyanyua,, ila ile barabara ya kuelekea chunya ni mbaya sana aise zile kona kona daah kama nyoka wenyewe huwa wanaziita kona za mkoa maana mkoa mzima hamna kona mbaya kama zile..
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nijikaze niende hivyohivyo
Nilienda kwenye graduu..Ulikosa mengi sana kutopita pale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]Wengi, the competition is real.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji8]woman of substance...that's my girl!!!
Amen[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kila la heri