Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,229
Ila hamna aliyekufa[emoji1].Yani daah
Lilipinduka vizuri
Ila hamna aliyekufa[emoji1].Yani daah
@Sanchez magoli ameanza vizuri, sijui kaishia wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]Tangu Jana unanichomesha mahindi hapa.
Fanya unitumie pm boss wangu.
Hutaniona amini nakuambia[emoji23][emoji23].[emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955]sasa ole wako nikuone humu ndani ya wiki hii utanieleza vizuri
Hahahaha..ujue hata wewe sijaona picha yako eeh@Sanchez magoli ameanza vizuri, sijui kaishia wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]
Itakuwa wewe.Hahahaha, hivi Mimi au wewe mmoja wetu nadhani kafunga PM
Nasema hiviiiHahahaaa
Chit chat trust me.
Mi ako angalia mipando yangu ya choroko na kunde shambani.
Achana na dunia kabisaaHaya maajabu ya dunia. Kwann uwe singo and happy..
Karibu sana jamani!!Nitakuambia shaka ondoa...
Napenda enda place zile bado ziko unspoiled...
Hahahaha, serious tupia selfie yako hata pm kule ,nishaifunguaItakuwa wewe.
Mimi sijawahi fanya mchezo huo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahisi hilo wenge ndiyo linakufanya uone kama watu wako wawili wawili eti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niwekee yako boss Maana inaonyesha unaogopa kabisa kuweka hapa.Hahahaha, serious tupia selfie yako hata pm kule ,nishaifungua
Sema nyuzi zenyewe nyingi hazivutii
Hahahaha, mie ujue sijui kuweka picha, ushamba wa Ku upload ndio sijui ,nisamehe RafikiNiwekee yako boss Maana inaonyesha unaogopa kabisa kuweka hapa.
Mimi nitakutag nilipoweka zangu huko juu au nitaweka tena
Kufuli bado lipo,haya bhanaMbona hukuja
Acha utani bwanaHahahaha, mie ujue sijui kuweka picha, ushamba wa Ku upload ndio sijui ,nisamehe Rafiki
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo si ni za matunda hizo zinawavutia wanaume tu sisi matunda yanatuhusu nini
Aah wapi! Sijui hata naanzaje kuweka mvi zangu hapa[emoji39][emoji39][emoji39]Hahahaha..ujue hata wewe sijaona picha yako eeh
Si ilikuwa ukuje janaKufuli bado lipo,haya bhana