Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ni kwa ajili ya wasafiri tu mama maana kusafiri siyo hobby ya kila mtu lakini mimi safari fupi sipendi,, nawaza kuenda kuomba ajira tazara niwe staff wa kwenye train ili niwe nasafiri karibu kila wiki..
Duh..muda mrefu njiani..
Wewe tukisafiri wote nitakufia njiani..kadri ninavyozidi kukaa muda mrefu ndivyo Hali yangu huzidi kuwa mbaya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ni kwa ajili ya wasafiri tu mama maana kusafiri siyo hobby ya kila mtu lakini mimi safari fupi sipendi,, nawaza kuenda kuomba ajira tazara niwe staff wa kwenye train ili niwe nasafiri karibu kila wiki..
Yesu wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kweli Mimi kusafiri sio hobby yangu.
Muda wa safari ukifika nawaza Sana Maana homa huwa inanibana angani.
Natamani ningekua nasinzia tu na kujikuta nimefika.
Huwa najitahidi kulala safari nzima unakuta Hadi mhudumu ananifwata kuniuliza Kama naumwa.
Namjibu nipo sawa tu.
 
Yaani ni shida kwa kweli

Daah ile ajali ilinisikitisha sana niliwaza mengi sana na nilikosa amani karibu wiki nzima yaani niliwaza kwanza walivyotoka huko kote salama ila wakaja kufia mwisho wa safari wameshakaribia stand kabisa daah
Kumbe alikufa MMoja maskini[emoji134][emoji24].
Ila waliofunga mikanda nadhani wengi walitoka salama...kasheshe ambao hawakufunga,lazima tu walijigonga vichwa.

Ile ajali ya wanajeshi naikumbuka vema Sana,Kuna binti namkumbuka[emoji24][emoji24]dah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unene huo huo,, kwa sababu nina sura kubwa ndiyo maana..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani sura yangu imeenea hapo pote kwenye hiyo emoji kwahiyo ningepunguza tu ingeonekana
Kwa unene gani [emoji36][emoji36] afu unavyowekaga maemoj makubwa ujue sio vizuri
 
Yaani ni shida kwa kweli

Daah ile ajali ilinisikitisha sana niliwaza mengi sana na nilikosa amani karibu wiki nzima yaani niliwaza kwanza walivyotoka huko kote salama ila wakaja kufia mwisho wa safari wameshakaribia stand kabisa daah
Ajali Haina sehemu maalum.
Kuna watu walitoka dar kwenda tunduma wakaja kudondoka mbozi huko.

Kuna siku nimetoka Dom Mtoto wa watu nimehaso njiani na kuumwa kwangu,halafu tunafika nane nane pale darajani dereva anataka atumwage[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom