Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,547
Mama ake!!Aiseee
Mama ake!!Aiseee
Hahahaah...kumbe!Hahahaaa Mimi ni product ya mwakaleli high school.
Zitafuata za mavanga sasaNakuona[emoji7][emoji7][emoji7]
Nasubiri [emoji847][emoji847][emoji847]Zitafuata za mavanga sasa
Tumepanda sana gari za mbao na viazi pale katumba kutupeleka uko milimani.Hahahaah...kumbe!
Ukute ulisoma na kakangu
Nakuogopa mimiMama ake!!
2012Tumepanda sana gari za mbao na viazi pale katumba kutupeleka uko milimani.
Kaka ako alimaliza mwaka gani
Hahahaaa chit chat hizi bana mama ake;Nakuogopa mimi
Kumbe sipo pekeyangu ninaekuogopa[emoji1787]Hahahaaa chit chat hizi bana mama ake;
Dah huyu wa 2012 nilimaliza nae kabisa. Na aninifahamu iwe isiwee nikikutajia jina langu: maana nilkuwa kiongozi wa mabweni na chafujo hasa hasa2012
Mwingine sister 2005
Kwanini ulikuwa hupiti hapa iyunga kunipa hi[emoji12]
Dah; Mimi rafiki wa kaka yakoKumbe sipo pekeyangu ninaekuogopa[emoji1787]
Hapa nachat na wewe huku natetemeka[emoji2]
Basi unamjua ..embu nitajie lako nimuulize[emoji85].Dah huyu wa 2012 nilimaliza nae kabisa. Na aninifahamu iwe isiwee nikikutajia jina langu: maana nilkuwa kiongozi wa mabweni na chafujo hasa hasa
Mimi nilishaanza kukuzoea eti..Dah; Mimi rafiki wa kaka yako
Unaanzaje anzaje niogopa
Natumai alikuwa mpoleBasi unamjua ..embu nitajie lako nimuulize[emoji85].
Hata wewe utakuwa unamjua Maana sidhani Kama alikuwa mpole[emoji1787]
Kuna kipindi alisharudi nyumbani[emoji1787][emoji1787][emoji1787].mwakaleli kwa migomo mlikuwa hamjambo..na yule baba yenu mwantimwa.Natumai alikuwa mpole
Mwaka watu watu 72 tulifukuzwa hadi siku ya mtihani. Mimi nlikuwa mmoja wao.lakini Nahisi walinionea
24 walifukuzwa kabisa.
Alikuwemo katika kanzi data iyo.
Indeed....here to stay now hehehFainally
HayaPoleee
Nakuogopa mimi
Umepitwa na maingizo mapya kibao