Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Duh..muda mrefu njiani..Itakuwa ulipanda ile ya kwetu ordinary maana express ya wazambia huwa inapita mbeya jioni kabla jua halijazama,, mimi kuna baadhi ya vituo nimevishika hasa vya morogoro..
Hahahaha sikimbii kitonga ila mie huwa napenda safari za kukaa muda mrefu njiani
Wewe tukisafiri wote nitakufia njiani..kadri ninavyozidi kukaa muda mrefu ndivyo Hali yangu huzidi kuwa mbaya.



