Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Anha halafu ukija hapa unaanza kunisumbua mimi nikutumie picha zilizofutwa kumbe unafanya makusudi eenh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile siku niliamua kuingia humu ndiyo Maana.
Nikiamua kukaa humu nakaa na nnashawishi watu watume picha na wanatuma.
Nikiamua kupumzika napumzika kweli.
Ngoja nijipe likizo angalau hata wiki
 
Mnaandamana Hadi kwa mkuu wa shule[emoji23][emoji23][emoji23]..
Watoto mliopelekwa pale Haki akili zenu zilikuwa zinafanana[emoji1787]
Hahahaaa

Shule ilkuwa inautemi mwingi sana

Form five napiga ngumi unakwepa unataka nipige ukuta? Form five?

Form five nani kakuruhusu utumie vyoo vya kufurashi.?

Form five wasichana wenu wote hawa ni wetu ole wako tukukute umesimama na form five mwenzio wa kike.

Hahaa nilisemaga Mwanangu hawezi soma mashule haya
 
Itakuwa ulipanda ile ya kwetu ordinary maana express ya wazambia huwa inapita mbeya jioni kabla jua halijazama,, mimi kuna baadhi ya vituo nimevishika hasa vya morogoro..

Hahahaha sikimbii kitonga ila mie huwa napenda safari za kukaa muda mrefu njiani
Nishaipanda Mara mbili
Sema nilikuwa nafika siku zote usiku kule mbeya. Kwaiyo maeneo ya rail station sijayashika vizuri. Ndomana niliuliza.

Hahahaaa acha uwoga wa kuikwepa kitonga
 
Hahahaaa

Shule ilkuwa inautemi mwingi sana

Form five napiga ngumi unakwepa unataka nipige ukuta? Form five?

Form five nani kakuruhusu utumie vyoo vya kufurashi.?

Form five wasichana wenu wote hawa ni wetu ole wako tukukute umesimama na form five mwenzio wa kike.

Hahaa nilisemaga Mwanangu hawezi soma mashule haya
Hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Umenichekesha..
Na zile kenta zenu mnapanda katumba,mnaning'inia Kama mizigo.
Sister Kuna kipindi walishawahi kutumbukia na kenta darajani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itakuwa ulipanda ile ya kwetu ordinary maana express ya wazambia huwa inapita mbeya jioni kabla jua halijazama,, mimi kuna baadhi ya vituo nimevishika hasa vya morogoro..

Hahahaha sikimbii kitonga ila mie huwa napenda safari za kukaa muda mrefu njiani
Treni ya Tazara hii au ,hili dude nilipanda Kapiri mposhi to makambako
 
[emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955]sasa ole wako nikuone humu ndani ya wiki hii utanieleza vizuri

Back
Top Bottom