FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,337
- 13,656
Hahahahahaha eti nisifichwe.. Mwambie Magu alegeze kidogoJamani jamani, ule mualiko sikuringa brother, sikuwa around kwa wakati ule.
Miss you too, usifichwe hivyo jamani.
Hahahahahaha eti nisifichwe.. Mwambie Magu alegeze kidogoJamani jamani, ule mualiko sikuringa brother, sikuwa around kwa wakati ule.
Miss you too, usifichwe hivyo jamani.
WelcomeIndeed....here to stay now heheh

Nishaipanda Mara mbiliNop, Dar ila ndiyo nilikuwa nimetoka Mbeya.
AkuuuuHahahaaa chit chat hizi bana mama ake;
Mbona hukujaHaya
Jana majinja imepindua watu kitongaNishaipanda Mara mbili
Sema nilikuwa nafika siku zote usiku kule mbeya. Kwaiyo maeneo ya rail station sijayashika vizuri. Ndomana niliuliza.
Hahahaaa acha uwoga wa kuikwepa kitonga
Niambie jamanidada kanawe uso kwanza jamani.
No worries big sis.. I now, record it on my "to do list"Greetings brod. Aisee count me in. Hiyo safari ya dubei can wait tu. Ukinipeleka tu kwenye view kama niliyoiona hapo; mbona ntaongezeka uzito kwa raha dada ako
Mnaandamana Hadi kwa mkuu wa shuleMara sukari hamna kwenye uji.


..
NakaziaaSubiri niingie kilingeni you will be surprised
. watatupia bila dalili.. Tena zitakuja na upepo wa kisulisuli
Usijali kabisaa!Unaweza nipeleka siku moja huku?
HahahaaaAkuuuu
Bado napenda maisha mimi
.
Muda wangu humu umeisha.
Nimezeeka
Hakuna kabisaa jamani
Still singo and happy![]()
Mimi dawa yako haijanikamata.
Nitaingia pale nitakapojisikia..
Nikiamua kutoingia nafumba macho tu bila kujali picha Kali zinazorushwa![]()
Narudi na kule mmu.
Kumepoa Sana..na hivi lizarazu hayupo.
Goood morning from this sideView attachment 1255262