Selfika na JF: Snap it. Show it

ila vibabu sasa jaman havikomi, nimecheka mbavu cna hapa. Wao wanazidi si wanaona wajukuu zao wa kiume wanafaidi acha wafe tyuuh. Uwiiiioh
 
Duh
Yan huwezi amini,, ndio nasikia sahivi haya mambo



Wanatumia watu gani? Waliokwisha pata watoto or?

Ah vipo sana
Huko insta wamejazana hao na ushuhuda juu
Wanatushushua sisi ambao hatujali naniliu .. slogan zao hizo
.

Wanatumia watu wote haijalishi kama bado hujazaa wala nn , inasafisha pia huko na kuondoa nuksi .
 
hii lugha sasa,
Heaven Sent mama malezi nidadavulie.

Ila mate bhana uwiiiiih
 
Ukija UD ntakua nashinda hapo ofisini kwako babuuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…