Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo mjukuu wangu ni shida. Anapita mpaka na mapene ya sisi wastaafu dah!

Nataka nimpikie supu ya kongoro hapa atulize akili kidogo japo sina uhakika kama anawezana na kongoro maana ni wa kishua [emoji16]
View attachment 2274387
Wa kishua eeh ...Sasa aache kupita na wastaafu wenzio hapo UD[emoji28][emoji28]
 
Huyo mjukuu wangu ni shida. Anapita mpaka na mapene ya sisi wastaafu dah!

Nataka nimpikie supu ya kongoro hapa atulize akili kidogo japo sina uhakika kama anawezana na kongoro maana ni wa kishua [emoji16]
View attachment 2274387
Vitu vya ulaya ni ulaya tu ona makongoro masafiii
 
Back
Top Bottom