Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🄰
3307B6FB-DD7E-4EBF-9EAD-B006F1843847.jpeg
 
Nawashauri mjiweke mbali na kuchokonoa injini dada zangu, mara nyingi huwa majuto baadae.
Kuna kudanganyana sana huko masalon kwenu, mara vitunguu swaum mara nini.
Ni hatari mno.
Wengine badala ya kubana hutepeta au hata kutoa harufu.
Ridhikeni dada zetu

Asante kwa ushauri
Nipo makini sana na afya siwezi fanya hivyo
 
Back
Top Bottom