myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Mungu akubariki sana jirani...baya liwe jema🙏Leo Nimechoka sana jirani hapa kichwa kina jam la usingizi hatari!!!
Nikapumzishe fuvu langu kidogo Enjoy your time jirani!!![]()
Mungu akubariki sana jirani...baya liwe jema🙏Leo Nimechoka sana jirani hapa kichwa kina jam la usingizi hatari!!!
Nikapumzishe fuvu langu kidogo Enjoy your time jirani!!![]()
Abee
Nipo jirani,, niko na Paranjo hapa nampa maelekezoJirani upo..
Sawa jirani...Nipo jirani,, niko na Paranjo hapa nampa maelekezo
Kulikoni ....Haijapoa
Jirani baridi inatuletea udhaifu wa mwili..Kulikoni ....
Kwetu pia mpaka kichwa kinauma...Jirani baridi inatuletea udhaifu wa mwili..
Pole jirani,, huku mkoani tumekuchagua wenyewe hatuna budi kukazaKwetu pia mpaka kichwa kinauma...
🤷🏼♀️He!.. jirani vipi tena.
Am sick en tired of being sick en tiredKuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
Pole dearAm sick en tired of being sick en tiredView attachment 2274729
Pole na yutiaiAm sick en tired of being sick en tiredView attachment 2274729
Get well ASAP..Am sick en tired of being sick en tiredView attachment 2274729
Namjibia hio ni cannula inawekwa ili mgonjwa asitobolewe tena ni kama vein portal (anaekewa kama ana dozi ya sindano IV japo haishauriwi sana kuweka pasi na ulazima)Get well ASAP..
Samahani.. hayo yanakuwaga matibabu ya nini? Naonaga tu sana watu wana vibomba hivyo
Oh sawa! Ahsante kwa elimu..Namjibia hio ni cannula inawekwa ili mgonjwa asitobolewe tena ni kama vein portal (anaekewa kama ana dozi ya sindano IV japo haishauriwi sana kuweka pasi na ulazima)
Ajabu na kweli wanawake 8 kati yao 6 wakienda hospital ni U T I mbaya zaidi siku hizi nkipigiwa na rafiki wa kike uju e ni PID😂😂😂😂 mbona yutiai?
Mwanamke asiumwe,, ni yutiai
Get better soonAm sick en tired of being sick en tiredView attachment 2274729