Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,403
Nimefundisha pale zaidi ya miaka 10. Hakuna jipya ambalo silijui pale. Hata kuanzia 2022 - 2023 academic year nitakuwa hapo...God willingWa kishua eeh ...Sasa aache kupita na wastaafu wenzio hapo UD![]()

Mabinti wanaponzwa na tamaa lakini pia wengine ni kweli wana hali ngumu kiuchumi hasa hawa wanaotoka mikoani huko familia za kawaida hawana ndugu mjini na HESLB nao wanawazingulia. Ni shida tupu yaani!

..unajua maana ya kiboga???




