Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mnasimamaga kumbe heh

Alafu issue sio tu vistick kuna douching kuna wengine wanatumia sabuni kali zinaua mpaka askari walinzi wa uke kuna wengine maji wanakunywa mpaka wakisikia kiu na wakinywa wanapiga trumpet glass nzima hashushi

Ikitokea unasimama zako tu
Vyoo vingine havifai

Mambo ni mengi sana , watu wanataka kufanya majaribio ya miili yao . Nasikia kuna Yoni feki na bado watu wanazitumia aisee .
 
20220627_211425.jpg
 
Ni mjadala mrefu visababishi ni vingi mojawapo ni irrational use of antibiotics pia na uuzwaji holela wa dawa so far ndo mana TMDA imepewa nguvu pia wameondoa maduka ya dawa baridi na pia kubana leseni za biashara ya pharmacy

Sababu nyingine ni za wanawake wenyew wanafanya mambo mengi mengi uko chini na pengine japo si hoja sana ni kuhama kutoka pit latrine kwenda izi VIP
Tatizo lako

English nyingi

Sio wote tulisoma asee
 
Back
Top Bottom