spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,530
Adui wa vibabu siku izi ni tako na sildenafilUtakuja kufiwa na vibabu lodge mjukuu wangu upate mikosi. Kuna kamoja kalizima mwezi Mei yaani ilikuwa aibu tupu maana kalikuwa kanaheshimika sana.
Kamebeba mzinga wa supa dupa yutong tena imeolewa kakapiga viagra moja kakaona mtambo haujasimama sawasawa kakaongezea nyingine. Pfuuu kakazima mazima. Yutong ikapaniki hiyooo ndukii na taulo tu kwenda front desk. Aibuu tupu yaani. Nenda navyo polepole mjukuu vinginevyo kwa mizagamuo yako unayosimuliaga humu ni suala la muda tu kuzimikiwa na hivi vibabu![]()
Kwako SYB



..unajua maana ya kiboga???
