Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hadi uchunguzi uje ukamilike; umekoma umekomazika. Bado home na kwa wananzengo; utapewa mahubiri hadi utamani Yesu arudi leo
Mbona utatamani kuhama nchi
Mashost lazima wakukimbie ndio wasionekane nao wana tabia kama yako.

Maisha yatabadilika, hadi yarudi kuwa normal watu wasahau aloo utakua ushakonda sanaa
 
In Harmojala mood

Kwa pamoja tutazame hapa tulipo,
Panatuonyesha picha ya mbali huko tuendako mpenzi.
Mengi utasikia yakisemwa usiyaweke moyoni,
Kuteleza inatokea mambo ya ndani usiyaweke hadharani.
Kama ndege juu turuke angani wote
Unishike nikushike ili tuwe wote mpenzi
Mvua ikinyesha iwe baraka ya penzi letu, lolote likitokea basi tuanguke na tufe wote.

Wengine amani tuliyonayo kidogo wanaiota hawana,
Tena pengine pesa si tatizo vipigo, kati yao upendo hakuna
Heri yetu sisi
Tushukuru kwa yote(tushukuru kwa yote)
Tushukuru kwa yote kipenzi changu
Tushukuru kwa yote

Asiyenipenda hakupendi hata siku moja,
Siku tunaachana ndo wanachongoja
Asiyenipenda hakupendi hata siku moja
Siku tunaachana ndo wanachongoja
Juzi nilikosea, nikakukuta unalia machozi Nilipokuomba radhi ukaelewa, samahani ikaokoa penzi.

Wengine amani tuliyonayo kidogo wanaiota hawana tena pengine pesa si tatizo vipigo kati yao upendo hakuna
Heri yetu sisi
Tushukuru kwa yote(tushukuru kwa yote)
Tushukuru kwa yote kipenzi changu
Tushukuru kwa yoteView attachment 2274391

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekumbuka ule wimbo wa Monday to Monday Mama Mchungaji. Nostalgic!
 
Nimefundisha pale zaidi ya miaka 10. Hakuna jipya ambalo silijui pale. Hata kuanzia 2022 - 2023 academic year nitakuwa hapo...God willing

Mabinti wanaponzwa na tamaa lakini pia wengine ni kweli wana hali ngumu kiuchumi hasa hawa wanaotoka mikoani huko familia za kawaida hawana ndugu mjini na HESLB nao wanawazingulia. Ni shida tupu yaani!
MUNGU awalinde dhidi ya STD na HIV hawa watoto wetu
cocastic
 
Nimekumbuka ule wimbo wa Monday to Monday Mama Mchungaji. Nostalgic!
Kama ndege wa angani
Samaki wa majini
Nami Mungu kanipa pa kukaa kando yako
Nina furaha na amani mapenzi ya dhati
Unayonipa sijawahi ona

And I need you kifo cha mende chali (eeehee)
Body to body (eeehee)
Monday to Monday
And I need you body to body (eeehee)
Monday to Monday (eeehee)
Oh baby do me like it's my birthday
 
Back
Top Bottom