Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Mweeh haka ka uswazi mbona. Tena muda huu atakuwa amewahi sana, saa 7 tumeshaizoea
Junia wakishua.. hadi sahivi hajalala tu
Junia wakishua.. hadi sahivi hajalala tu
Shostie ni kaka yako huyu [emoji4]?Happy [emoji512][emoji512][emoji512][emoji512] to
Triple C
Mwamba wa Lusaka.
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]View attachment 2265189
ILE ilikuwa ya ki jf tu mkuu wangu...kibaya zaidi hatujawahi onana live, unajua pia imani yake ile kali huezi amini alivyokuwa na utani mwingi hahaSijawahi kuwa na kisu kikali mkuu!! Ndio nna mpango wa kunoa kisu changu nianze kula nyama sasa[emoji3]
[emoji23][emoji23] mzigo mzigoNiambieni madam nani huyo[emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2265188
BMW ya mtoto wa mama, Rav 4 ya dadaSasa tunaoishi godauni inakuaje😂😂
Ila mpoki ana maneno, sijui anayatoa wapi
Au nyama😃Mbona njegere tunachemshia kwa gas? Maharage tunakwama wapi..
Toto lenye zigo umewasili?😂😂[emoji23][emoji23] mzigo mzigo
Unaumwa vidonda vya tumbo umesema amekutajia possible matibabu (dawa) na route zake pantoprazole inachomwa IV (intravenously) mshipa na hio ya maumivu inachomwa kwenye msuli (tako) au IvTobaaaa[emoji134] lugha gongana. Naomba nifafanulie vzr kaka.
Si ndio tumeambiwa tutafute hela? 😆Sasa tunaoishi godauni inakuaje😂😂
Ila mpoki ana maneno, sijui anayatoa wapi
[emoji1] chezea weweNikajaribu hili pishi, huenda mtoto wa mama mkwe atatangaza ndoa karibuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna shem wako m1 alikua ananambia "taratibu bas nawee utaniangusha hilo uno km feni mbovu iliyokosa break". Eti nitulie nisimwage uno weee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka Sana mdogo angu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...sijui kwanini nimejikuta naliona uno uliloliandika hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
Ah sahihiDuh! Hatar mno.
Eeh😂😂BMW ya mtoto wa mama, Rav 4 ya dada
Yan fuso imekula turubai ila nzigo inaonekana[emoji23][emoji23] mzigo mzigo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee furahi tyuuh sis ake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Coca nacheka Mimi huku...
Hahaha, huwa una kumbukumbu sana. Hivi ulisomea nini?[emoji1787]Sema suuuuu ya mtani wako
Ninayo mmoja kubwa hapa nitaanza nayoKama ni makande labda ya mmoja/ wawili… na chupa iwe kubwa
You’ll make it.. na kande tutakula [emoji1]
Haya watu na nyota zetu mjiniiii, cash inataka kutemwa kwa no angu hapa. Weraaaaah weraaaaah.Leta namba nifanye muamala chap
Natuma 1.5M
Nimekuja kulala nimeiacha inaendelea, nna usingz kama woteSi ndio tumeambiwa tutafute hela? 😆
Nilitaka nilale, ila wamenichekesha hadi usingizi umekatika..