spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,124
- 21,835
Niambieni madam nani huyo😅😅😅
Real meaning of beauty with brainsYeah, upo sahihi
hapo utaanza kumtamani huyo jamaa , end of day ushaharibu tayari .
Naked...
Raba kaliiiHappy [emoji512][emoji512][emoji512][emoji512] to
Triple C
Mwamba wa Lusaka.
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]View attachment 2265189
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weeSure thing [emoji7][emoji3531]
Uniform zinanikera hapo tu
[emoji7][emoji7][emoji7] fainali nimekuonaa
Boss nafurahi kukufaham chief
Utawasimulia[emoji7][emoji7][emoji7] fainali nimekuonaa
Haya [emoji23][emoji23]Utawasimulia
Hyo hadi ana kissHiyo sijaona, ila jackie hanaga picha za utupu au hiyo ipo hivyo??
Happy [emoji512][emoji512][emoji512][emoji512] to
Triple C
Mwamba wa Lusaka.
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]View attachment 2265189
Kweli umetumis mama J?
Jackie huyu huyu [emoji23][emoji23] nitaitafuta mana siamini. Yule jamaa ni kazi muda wote hanaga muda na warembo.Hyo hadi ana kiss
Nikajaribu hili pishi, huenda mtoto wa mama mkwe atatangaza ndoa karibuniHaya nakueleza wali maua
Hiyo ya kuchanganya na nyama sijawahi naona vitakuwa vingi labda uunge nyama pembeni
Mahitaji
Vitunguu 2
Carroti 2
Hoho 1 kubwa
Njegere kikombe 1
Wali vikombe viwili
-Iliki
-Njegere
-Kitunguu saumu
-Chumvi
Mandalizi
-Osha njegere zitoe kwenye maji
-Chambua iliki kisha zisage ziwe unga/robo kijiko cha chai
-Chambua mchele na uoshe
-Chambua kitunguu saum menya tangawizikisha visage
-Katakata karoti na hoho muundo wa vibox vidogodogo
Jinsi ya kupika
-Bandika sufuria yako jikoni,weka mafuta kidoogo saaana
-Kisha kabla hayajapata moto weka njegere hii inazuia njegere kutorukaruka,koroga hadi njegere zibadilike rangi
-Kisha weka Karoti endelea kukuroga
-Weka mchanganyiko watangawiz na kitunguu saum koroga hapa usichelewe sana maana vitunguu huwa vinawahi kushika chini
-Weka unga wa iliki kisha mchele
-Koroga hadi vichanganyike haswaaa
- Weka maji kisha weka chumvi koroga na ufunike
Baada ya muda angalia wali wako kama umekauka kisha palilia(weka moto juu na chini kidogo)
Subiri kama dk 20 angalia kama umeiva weka hoho ulizokwisha zikata hapo awali kisha geuza kidoogo na funika tena kwa dk 5.
Baada ya hapo waweza pakua wali wako ukiwa na harufu nzuuri na mauwa yake ambayo ni karoti ,njegere na hoho
Madam anza kuvaa miwaniMjep umejificha sana kwenye giza asee weka nyingine unayoonekana bana!!
Ndio mmepotea sana Selfika asee fanya kutubless na selfii yako basi!!Kweli umetumis mama J?
Thank you japo najionaga pangu pakavuReal meaning of beauty with brains
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Asante dear,... Micn you moreeeeee[emoji8]..
haha nikipiga nitafanya hivyoNdio mmepotea sana Selfika asee fanya kutubless na selfii yako basi!!