Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
Duh! Hatar mno.Ah waongo sana
Wanadanganya vibaya
Nilingia LinkedIn kwa mara ya kwanza .. kule it's a professional network wamejazana mule .. wakiona account tu mpya hao wanakujia na utapeli .
Duh! Hatar mno.Ah waongo sana
Wanadanganya vibaya
Nilingia LinkedIn kwa mara ya kwanza .. kule it's a professional network wamejazana mule .. wakiona account tu mpya hao wanakujia na utapeli .
Akujeeee akujeeehahahaaa siku mbilitatu hizi simuoni kabisa... atakua ametingwa msukuma Shimba ya Buyenze whenever you are We miss youuuuuuu!!








Nawafuatilia kwa makini.....Kubali kwanza kuwa ulishinda mzee![]()
Naomba hii usije ukabadili tena nikakukosa Mimi dearPole rafiki, kuna vijisababu vilinilazimu kuchange Id, nitabaki nayo hii siku zote.

Mbona njegere tunachemshia kwa gas? Maharage tunakwama wapi..Nikifika hiyo stage aki nahama na nchi😂😂😂
Maana nitakua sio mtu wa kawaida tena😁
Sahihi dearMahusiano ni kitu kinachohitaji mlengo na si bla bla tu. Kutamani mtu mwengine hiyo hutokana na km ulimpendea kitu mtu wako. Hukumpenda yeye km yeye. Na ndo mwanzo wa usaliti huo
Hulali..Nawafuatilia kwa makini.....
Hii sibadili tena my dear.Naomba hii usije ukabadili tena nikakukosa Mimi dear![]()
Tunabembelezana na junia hapa tukalaleHulali..
Huwezi kuelewa haha!Nawafuatilia kwa makini.....
Hahaha inawezekana ngoja nitaijaribu hiiKuna mtu alinambia hadi makande ukiamua![]()
Junia wakishua.. hadi sahivi hajalala tuTunabembelezana na junia hapa tukalale
Sema suuuuu ya mtani wakoHuwezi kuelewa haha!
TobaaaaHa ha ha ha Dah!
Pantoprazole ni mishipa , tramadol ni mishipa au intramuscular
lugha gongana. Naomba nifafanulie vzr kaka.Kama ni makande labda ya mmoja/ wawili… na chupa iwe kubwaHahaha inawezekana ngoja nitaijaribu hii
Maisha ni kuamua tu
Nimesahau kuwasha mkaa mie
Sijawahi kuwa na kisu kikali mkuu!! Ndio nna mpango wa kunoa kisu changu nianze kula nyama sasaNtajuaje mkuu huenda ulinizunguka![]()

🤣😂😂😂😂!!Tobaaaalugha gongana. Naomba nifafanulie vzr kaka.
Ni hiyo tramadol nafikiriHa ha ha ha Dah!
Pantoprazole ni mishipa , tramadol ni mishipa au intramuscular