Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
😂😂😂😂😂Hahhaahahaaaa!!
Eeh bana
😂😂😂😂😂Hahhaahahaaaa!!
Wapopo wana laana hawa mbwaaaa, njaaa kibao, mfyuuuuuu zao.Ah sahihi
Inabidi kuwa makini eeh
Anakudanganya nimekutumia mzigo sasa , anakupa link ya kutrack mzigo umefikia wapi na unasema ulipofika [emoji23][emoji23] .. ukifika bongo unashangaa umepigia simu na kuambia mzigo umekutwa na hela and it is ilegal kusafirisha hela wanakuambia tuma hela ili nikutolee mzigo hu hapa airport .. uongo mtupu
Wapopo hawa wanajifanya wazungu sasa
Oyaa unanikwepea nini?Ndiyo...
Uko vizuri mzee!Wala sitoki labda unitoe wewe na utakoma kunijua[emoji28][emoji28]
Ila huu utapeli wa kizamani yaan kama bado kuna watu wanatapeliwa kwa namna hii niwape pole sana.Ah sahihi
Inabidi kuwa makini eeh
Anakudanganya nimekutumia mzigo sasa , anakupa link ya kutrack mzigo umefikia wapi na unasema ulipofika [emoji23][emoji23] .. ukifika bongo unashangaa umepigia simu na kuambia mzigo umekutwa na hela and it is ilegal kusafirisha hela wanakuambia tuma hela ili nikutolee mzigo hu hapa airport .. uongo mtupu
Wapopo hawa wanajifanya wazungu sasa
Nimepatia?Hahaha nijikute tu
Huo mdomo ndo ulivyo au unauweka kusudi?View attachment 2265235
Stori zimekua mob hamna picha wacha niweke hii tribitii
[emoji23]Huo mdomo ndo ulivyo au unauweka kusudi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nijibu kwan Kabla sijatoa neno
Uko huru mkuu selfika iko kama serengeti we chagua mnyama wako anayekuvutia😅😅😅Uko vizuri mzee!
Nikuletee upinzani tena?[emoji1787][emoji1787]
😂😂Oyaa unanikwepea nini?
Kama vipi tuzipige yaishe😅
Ndiyo akikupenda na wewe unajifunza kumpenda...upendo unashamiri.
Kumaansha?Huo mdomo ndo ulivyo au unauweka kusudi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nijibu kwan Kabla sijatoa neno
Khoo khooUko huru mkuu selfika iko kama serengeti we chagua mnyama wako anayekuvutia[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahEeehhhndiwooooooo[emoji8][emoji8]!! [emoji12]
Kwangu utanuna na utasahau utacheka tena🤣🤣😂😂
Umenikumbusha kitu🤔
Ngoja ninune😣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] matumizi ya binadamu.[emoji23][emoji23] ndo mn na mie nimeuliza
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Naisubiri kwa hamu mie!
Hahaha khoo nini?Khoo khoo