Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Hahaha sijaenda shule mbona 😂😂Hahaha, huwa una kumbukumbu sana. Hivi ulisomea nini?![]()
Hahaha sijaenda shule mbona 😂😂Hahaha, huwa una kumbukumbu sana. Hivi ulisomea nini?![]()
Mimi nimepata tu bahati mana imekaa sekunde chache picha haipo![]()
Make kwa utulivu, jambo linakuja soon.Sii yakukosa![]()
Eeehhhndiwooooooo😘😘!! 😜kuna shem wako m1 alikua ananambia "taratibu bas nawee utaniangusha hilo uno km feni mbovu iliyokosa break". Eti nitulie nisimwage uno weee
Nkamuambia sikwenda unyagoni kumshangaa nyakanga, nilikwenda darasani, kaa kwa kutulia wee nishikilie ukianguka shauri yako.
Ogopa matapeli hakna mngoni asiyejua kudondosha moja moja
Unooooooooh.
Hahaha, eti kijf!!ILE ilikuwa ya ki jf tu mkuu wangu...kibaya zaidi hatujawahi onana live, unajua pia imani yake ile kali huezi amini alivyokuwa na utani mwingi haha
Nilishakukatalia hii salamu yakoMurembo shikamoo![]()
Nitakusubiri uzeeke nikuamkie tu😂Nilishakukatalia hii salamu yako
Tar 9.Wacha tuisubirie hio siku shos Kwani ni lini??
Ila huyu mwamba anatamanisha mnooo kwa matumizi.
![]()

ndo mn na mie nimeulizaMaths sana, au physics au kemia..au vyote kwa pamoja!Hahaha sijaenda shule mbona![]()
Peeeh peeehShuuuh Shuuuh
Kesho JplNimekuja kulala nimeiacha inaendelea, nna usingz kama wote
Naisubiri kwa hamu mie!Tar 9.
Hahaha nijikute tuMaths sana, au physics au kemia..au vyote kwa pamoja!
Nitakusubiri uzeeke nikuamkie tu![]()
toka zako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Cocaaaa..tobaaaaa roho yangu😂😂😂😂😂....Sasa mbona Dada ako patupu !!??🙄kuna shem wako m1 alikua ananambia "taratibu bas nawee utaniangusha hilo uno km feni mbovu iliyokosa break". Eti nitulie nisimwage uno weee
Nkamuambia sikwenda unyagoni kumshangaa nyakanga, nilikwenda darasani, kaa kwa kutulia wee nishikilie ukianguka shauri yako.
Ogopa matapeli hakna mngoni asiyejua kudondosha moja moja
Unooooooooh.
Hahhaahahaaaa!!Cocaaaa..tobaaaaa roho yangu
....Sasa mbona Dada ako patupu !!??
![]()
Wala sitoki labda unitoe wewe na utakoma kunijua😅😅toka zako
Ndiyo...Make kwa utulivu, jambo linakuja soon.