Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Thank you Rafiki .. stori tu hizi

bora umuache huyo partner wako
Uanze na huyo crush kama ni dating tu .
Mahusiano ni kitu kinachohitaji mlengo na si bla bla tu. Kutamani mtu mwengine hiyo hutokana na km ulimpendea kitu mtu wako. Hukumpenda yeye km yeye. Na ndo mwanzo wa usaliti huo
 
Back
Top Bottom