Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,999
- 35,455
NiliachwaUlidate na Moderator
NiliachwaUlidate na Moderator
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] G jamani
Eeh pole sana[emoji23][emoji23] nimelia sana kufukuzwa kuangalia Tv, kuna tamthilia nimekuja kuzitafuta mwenyewe ukubwani.
Niambie lakini, hali yako??Afadhali
Yani huyu jamaa [emoji23][emoji23]Huyo achana nae kavurugwa [emoji23][emoji23]
Stories manifest what's in your headThank you Rafiki .. stori tu hizi
bora umuache huyo partner wako
Uanze na huyo crush kama ni dating tu .
Mpiga ramli ushaanza [emoji2][emoji2]Ukiachika [emoji34][emoji34]
AtachapwaYani huyo anataka yeye apewe tu vocha!![emoji848][emoji848]
Ah kweli .. ni mcheshi [emoji23]Ni ana vituko mpaka basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anaburudisha sana Selfika [emoji23][emoji12]!!
Nlikuwa naangalia movie ya Jackie na mzeeNmekumbuka zaman wakat katoto nilikua napenda sana tamthilia zile za kizungu na hamna namna nyingine ya kuangalia zaidi ya kusubiria irushwe kwene Tv, ikifika muda kama kuna vipande vya hovyo hovyo wanatufukuza watoto [emoji1787] unahisi uchungu tamthilia unaitaka lkn wazee wamekazaa. Maisha bhana
Jackie kama Jackie? Nan kacheza?Nlikuwa naangalia movie ya Jackie na mzee
Kabisa yani!!Ah kweli .. ni mcheshi [emoji23]
Bora atupunguzie stress kidogo
Niko salama kabisa bestNiambie lakini, hali yako??
Mwamba simkubali wala nn[emoji23][emoji23] bharesa
Yeah, upo sahihiStories manifest what's in your head
Unamkubali nani?Mwamba simkubali wala nn
Ha ha ha ha Dah!Alisema haiwezekani eti [emoji848]
Jackie chan,, ile movie ya dragonJackie kama Jackie? Nan kacheza?
Hiyo sijaona, ila jackie hanaga picha za utupu au hiyo ipo hivyo??Jackie chan,, ile movie ya dragon